Lambardi
Platinum Member
- Feb 7, 2008
- 18,813
- 21,830
.......kazi na budget endekevu yq nani? Nchi ngumuhiiiiKwa nini wasimlipe aendelee kuyatunzia hapo hapo yapendezeshe hilo eneo siku zote?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.......kazi na budget endekevu yq nani? Nchi ngumuhiiiiKwa nini wasimlipe aendelee kuyatunzia hapo hapo yapendezeshe hilo eneo siku zote?!
Sisi tulikwisha jipigia hela ndefu kuyanunua hatuna haja nayo, kwanza nyumba zetu hazina nafasi ya kuyaweka. Yachukue wewe unayejifanya mzungu wa kupenda hizo takataka.
Nkajua Maua Sama katelekezwa!!!!
Maji ya kuyamwagia atayapata wapi?Kwa nini wasimlipe aendelee kuyatunzia hapo hapo yapendezeshe hilo eneo siku zote?!
Si kirahisi hivyoHapo mnafika na Noah au Kirikuu mmevaa sare za chama, mnaanza kupakia kwenye gari. Vyungu ivyo mkienda kuuza si haba.
Asiye elewa hiyo kero hawezi kukuelewa😄😄😄😄 Weee ujakutana nao bado mkuu...
Ila hata mi mwanzoni nilikua hv hv ila kwa sasa hapana
Hakuna mlinzi apo ni barabaraniSi kirahisi hivyo
Fisiemu wana akili za ajabuSisi hununua ndege kwa pesa taslimu lakini madawati ya watoto shule tunafuta wahisani watununulie.Hospital zetu haziboreshwi kwa sababu viongozi hutibiwa nje ya nchi
Ahahaha miaka 7 jela au faini ya laki tatu ...Kila jambo kwa kiasi. Duniani hatupo kwa jambo moja tu 🤣🤣🤣