Mwandishi Candid Scope kiuhalisia ni nani

Bijou

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
1,248
Reaction score
360
Kuna hiki kitabu Honest to My Country by Candid Scope Jina ambalo ni pen-name, je kiuhalisia ni Nani? Alikuwa mwanasheria kwa mujibu wa maelezo kwenye kitabu
 
..Nakala ya kitabu hicho inapatikana wapi?
 
Hutu mwa.ba anajua vitu sana. Japo kwa siku za karibuni kama simuoni hivi. Snajua sana habari za kidini pia gasa RC.
 
Back
Top Bottom