kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
RyclebinMsichokijua ni kwamba hata hayo makampuni ya kutoa huduma za mitandao ya simu yanamilikiwa na hao Mawakala wa Siri wa shughuli za utekaji. That's why taarifa zote kabisa za wateja wa mitandao hiyo huwa ziko mikononi mwao siku zote. Ukiwa mtumiaji wa huduma za hiyo mitandao tambua ya kwamba haupo kwenye maficho, kila kitu unachokifanya watekaji wanakiona.