kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
RyclebinMsichokijua ni kwamba hata hayo makampuni ya kutoa huduma za mitandao ya simu yanamilikiwa na hao Mawakala wa Siri wa shughuli za utekaji. That's why taarifa zote kabisa za wateja wa mitandao hiyo huwa ziko mikononi mwao siku zote. Ukiwa mtumiaji wa huduma za hiyo mitandao tambua ya kwamba haupo kwenye maficho, kila kitu unachokifanya watekaji wanakiona.
Na wale vibosile kwenye hayo makampuni wengi ni mawakala wao,,,,kuna nafasi hawezi akapewa mtu yeyote tu kama sio wa upande wao.....Msichokijua ni kwamba hata hayo makampuni ya kutoa huduma za mitandao ya simu yanamilikiwa na hao Mawakala wa Siri wa shughuli za utekaji. That's why taarifa zote kabisa za wateja wa mitandao hiyo huwa ziko mikononi mwao siku zote. Ukiwa mtumiaji wa huduma za hiyo mitandao tambua ya kwamba haupo kwenye maficho, kila kitu unachokifanya watekaji wanakiona.
Ni KWELI kabisa, na hata ukiwa Mwajiriwa wa kawaida kwenye hayo Makampuni unapaswa kuwa mwangalifu Sana Tena Sana. Usipende kuwaamini kirahisi 'wahusika Wamiliki' wa hayo makampuni, wengi wao wapo huko kimkakati Sana. Ukijichanganya utakuwa umepotea mazima. Suala kama hili ndilo lililomponza jamaa mmoja ambaye aliuawa kinyama sana mchana kweupe pale makutano ya Barabara pale Mwenge Dsm miaka kadhaa iliyopita, wauaji walichukua bahasha tu yenye 'documents nyeti' na kuacha fedha kiasi kadhaa zilizokuwemo ndani ya gari yake. Tena aliuawa huku Traffic Police wakiwa jirani kabisa wakiwa wanaendelea kuongoza magari hapo kwenye makutano/mataa ya Mwenge.Na wale vibosile kwenye hayo makampuni wengi ni mawakala wao,,,,kuna nafasi hawezi akapewa mtu yeyote tu kama sio wa upande wao.....
Inasikitisha sana wakuu
Huyo mgangawakienyeji atapepelukatooPascal Mayalla njoo Huku ,una kesi ya kujibu
Katika nchi za wenzetu waliostaarahika, jambo kama hili lisingewezekana, kwa sababu Polisi wangepaswa kuwa na Kibali Cha Mahakama ili waweze kupatiwa taarifa binafsi za mawasiliano ya ki-electronic ya mtumiaji wa mitandao ya mawasiliano ya simu.Nasubiri nione mwisho wake! Hivi polisi kama walihitaji mawasiliano ya Kabendera kutoka kampuni ya mawasiliano ingeliwezaje kuzuia ?
Hawaendi tu kama masela wa Manzese kuna taratibu zake kisheria.Nasubiri nione mwisho wake! Hivi polisi kama walihitaji mawasiliano ya Kabendera kutoka kampuni ya mawasiliano ingeliwezaje kuzuia ?
Tenaa aanzee na pasco kabla ya hao VodacomAkimaliza kuwashtaki Vodacom namshauri pia amshtaki Pasco Mayala.
Na bado hakuambulia hata moja miongoni mwa teuzi.Kabisa..yeye ndio alishadadia sana, kumkandamiza Kabendera na maandiko yake ya umbea. 😀 😀
Siyo bilioni elfu mbili mkuu, ni milioni elfu mbili mia nane tu!Hivi watu wanataja mabilioni kama elfu tatu fulani hivi
Kwamba Chacha wangwe? Mbona Mbowe yupo hakuwahi shtakiwa kwa murder case? In fact chadema wenyewe waliomba post mortem ifanyike na wachunguzi huru kutoka nje ila serikali ikakataa? Walikua wanaficha nini kama wahusika ni hao kina Mbowe?Magu hakua na hatari kiviile wenye hatari zao wapo...... Fatatilia miaka ya 2007 kuna gari ilitekwa ya kampuni moja ivi kumbe ilikua na mtego dereva akaamuliwa aendelee na plan b njiani akakamatwa kesi kuanza akaamua kumwaga mboga sasa wahusika na genge lao ndo balaa.
Sent using Jamii Forums mobile app