Mwandishi Eric Kabendera aelezea jinsi Vodacom Tanzania ilivyomkamatisha kwa vyombo vya Usalama

KWANI TUNAPOFUNGUA LAINI HUWA KUNA MAKUBARIANO KWAMBA TAARIFA ZA SIMU YAKO HAZITATOLEWA KOKOTE DUNIA?

NA TUNAWEZAJE KUWAPATA WAHARIFU KAMA HATUTAPATA NAMBA ZAO ZA SIMU?
LABDA HAPA KOSA LA VODACOM LITAKUWA KAMA HAWAKUWA NA BARUA KUTOKA POLICE IKIWAOMBA KUTOA TAARIFA ZA MTEJA WAO.
OTHERWISE HAMNA KESI HAPO
 
VODA NI MAJAMBAZI WALIKUWA WANASHIRIKIANA NA WATEKAJI
KWANI TUNAPOFUNGUA LAINI HUWA KUNA MAKUBARIANO KWAMBA TAARIFA ZA SIMU YAKO HAZITATOLEWA KOKOTE DUNIA?

NA TUNAWEZAJE KUWAPATA WAHARIFU KAMA HATUTAPATA NAMBA ZAO ZA SIMU?
LABDA HAPA KOSA LA VODACOM LITAKUWA KAMA HAWAKUWA NA BARUA KUTOKA POLICE IKIWAOMBA KUTOA TAARIFA ZA MTEJA WAO.
OTHERWISE HAMNA KESI HAPO
 
POLICE AU MAHAKAMA
 
PM ali set Kabendera ? Kutoa machapisho yake huko jariba Economics....kuwa anatumika na mabeberu.....
 
Hatari sana. Mambo ya mwendazake haya.
 
Point mkuu
 
Katika nchi za wenzetu waliostaarahika, jambo kama hili lisingewezekana, kwa sababu Polisi wangepaswa kuwa na Kibali Cha Mahakama ili waweze kupatiwa taarifa binafsi za mawasiliano ya ki-electronic ya mtumiaji wa mitandao ya mawasiliano ya simu.
Huku kwetu Faragha ya mteja haizingatiwi kabisa katika hii mitandao ya simu
 
= Wahalifu

Huna sababu ya kutupigia makelele kwa kutumia herufi kubwa.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Nafikiri bado hauna uelewa wa kutosha kuhusiana na masuala haya ya Ulinzi wa Taarifa binafsi za Wateja.

Kwenye nchi za wenzetu ambako Kuna Utawala Bora na wa Sheria, na kwenye Demokrasia iliyotamalaki, Mamlaka za Upelelezi ni KWELI Zina haki zote za kupata taarifa binafsi za wateja fulani fulani ili kukamilisha kazi zao za kiupelelezi kwa ajili ya Ulinzi na Usalama wa nchi na Wananchi wake. Lakini suala hili linawezekana pale tu baada ya Wapelelezi kufuata utaratibu rasmi wa kisheria (due process of law), sambamba na kupata KIBALI CHA MAHAKAMA CHA KUWARUHUSU WAPELEZI HUSIKA ILI WAWEZE KUINGILIA MAWASILIANO BINAFSI YA MTEJA AMBAYE ANALENGWA NA UPELELEZI. Bila ya kupata Kibali Cha Mahakama, KAMWE wapelelezi hawawezi kuingilia mawasiliano yako binafsi, itakuwa ni kosa kisheria kufanya hivyo.
Be informed!
 
Nasubiri nione mwisho wake! Hivi polisi kama walihitaji mawasiliano ya Kabendera kutoka kampuni ya mawasiliano ingeliwezaje kuzuia ?
Polisi ana ma mlaka ya kuchukua mawasiliano yako inaitajka hati ya mahakama ifikishwe kwa kampuni ndo ufatiliwe, mahakama isibitishe pasi na shaka
 
Sasa si alikamatwa na kupelekwa mahakamani shida Iko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…