Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Mwanahabari mpelelezi wa Ghana Anas Aremeyaw Anas amezindua "Whistleblowers and Journalists’ Safety International Centre’ (Kituo cha Kimataifa cha Usalama cha Watoa taarifa na Wanahabari) ili kutoa ulinzi, nyumba salama, huduma za kisheria na utetezi kwa wanahabari na watoa taarifa barani Afrika.
-
Mwandishi huyo ni mhanga wa hatari na vitisho vya kifo vinavyotokana na kazi ya uandishi wa habari za uchunguzi ambapo mwaka 2019 mshirika wake katika makala ya uchunguzi wa BBC, Ahmed Hussein-Suale aliuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana
-
Kituo hicho ambacho kipo Jijini Accra tayari kinahifadhi watoa taarifa saba na waandishi wa habari kutoka barani Afrika, huku mmoja akiwa kituoni hapo tokea mwaka uliopita
.........................................................
Ghanaian investigative journalist Anas Aremeyaw Anas has launched "Wajsic" - the Whistleblowers and Journalists' Safety International Centre.
It’s a self-funded organisation designed to provide protection, safe houses, legal services and advocacy for journalists and whistleblowers in Africa.
Anas himself is not new to the danger and death threats that come with the work of investigative journalism.
One of his closest collaborators Ahmed Hussein-Suale - who had worked with Anas on a BBC investigation - was shot dead near his family home in Accra in 2019.
His murder remains unsolved.
The newly launched centre is already hosting seven whistle-blowers and journalists from the continent - one for the past year.
The safety of journalists and whistle-blowers across Africa has come under scrutiny amid concerns from international human rights organisations concerned about the narrowing space for democratic expression and freedom across Africa.
Source: BBC