Mwandishi Mohamed Said: Mfanyakazi wa Serikali hatakiwi kuwa mwanachama wa CCM

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mwandishi Mohamed Said amezungumzia mwenendo wa kisiasa nchini na kueleza kuwa mtumishi wa serikali hatakiwi kuwa mwanachama wa chama tawala, Chama cha Mapinduzi (CCM).

"Mfanyakazi serikali leo hatakiwi kuwa mwanachama wa CCM, lakini hii imekuwa ni shida sana"

Akizungumzia katika mahojiano yaliyorushwa Oktoba 12, 2026 na Nijuze, ameeleza pia hali ya kisiasa iliyokuepo katika eneo la Magomeni, akidai kuwa eneo hilo lilikuwa ngome ya chama cha CUF kabla ya mabadiliko ya ghafla kujitokeza wakati wa uchaguzi, majina ya wagombea wa upinzani yaliondolewa na kuwekwa ya chama tawala pekee, hali iliyofanya vyote kuchukuliwa kwa njia ya hila na nguvu badala ya kuchaguliwa na wananchi.

Screenshot_20260816-150515~2.png
 
kuwa CCM sio dhambi alitaka wawe chadema na ilani ya chama nani atamsaidia mama kuitekeleza

kama mtumishi wa uma ni kenge kwenye msafara wa mamba jifanye kuwa mamba kwa miaka yako 60 ukistaafu endelea na upinzani ndugu
 
In fact yuko sahihi,
mfanyakazi wa serikali sikivu ya CCM anafaa kuwajibika tu, tena kwa bidii na weledi mkubwa katika kuitekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM, ambayo ndio wananchi wameichagua na wameitaka itekelezwe na serikali ili iwaletee wananchi hao maendeleo.

So,
mtumishi wa umma ni mfanyakazi tu katika utekelezaji wa ilani. Full stop.
Akijiunga CCM,sasa hiyo inakua ni uhuru na haki yake nje ya majukumu yake ya kiutumishi kwa mujibu wa sheria 🐒
 
Kama mfanyakazi wa serikali hatakiwi kuwa mwanachama wa ccm na sa100 atakuwa chama gani?

Angesema kila mfanyakazi ana haki ya kuwa mwanachama wa chama fulani ila uanachama wake asiuingize kwenye kazi za kila siku za serikali.
 
kuwa CCM sio dhambi alitaka wawe chadema na ilani ya chama nani atamsaidia mama kuitekeleza

kama mtumishi wa uma ni kenge kwenye msafara wa mamba jifanye kuwa mamba kwa miaka yako 60 ukistaafu endelea na upinzani ndugu
Ukistaafu huna haja ya kujihusisha na siasa sababu nguvu zako za kufanya siasa zitakuwa zimepungua labda ubaki kuwa mshauri tu.
 
Mwandishi Mohamed Said amezungumzia mwenendo wa kisiasa nchini na kueleza kuwa mtumishi wa serikali hatakiwi kuwa mwanachama wa chama tawala, Chama cha Mapinduzi (CCM).

"Mfanyakazi serikali leo hatakiwi kuwa mwanachama wa CCM, lakini hii imekuwa ni shida sana"

Akizungumzia katika mahojiano yaliyorushwa Oktoba 12, 2026 na Nijuze, ameeleza pia hali ya kisiasa iliyokuepo katika eneo la Magomeni, akidai kuwa eneo hilo lilikuwa ngome ya chama cha CUF kabla ya mabadiliko ya ghafla kujitokeza wakati wa uchaguzi, majina ya wagombea wa upinzani yaliondolewa na kuwekwa ya chama tawala pekee, hali iliyofanya vyote kuchukuliwa kwa njia ya hila na nguvu badala ya kuchaguliwa na wananchi.
HIYO NDO KAZI KUBWA YA "CCM" KUWAWEKA MFUKONI WANANCHI NA KUTOKA HADHARANI KUJIGAMBA "WANANCHI WOTE NI MALI YANGU".
 
Kusema serikali inatekeleza ilani ya CCM ni ama ujinga wa kutojua mifumo ya utawala wa nchi au propaganda za makusudi.

Serikali haitekelezi ilani ya chama tawala bali inatekeleza maazimio ya Bunge ikiwa ni pamoja na sheria, kanuni na taratibu zilizopitishwa na Bunge.

Ilani ya chama cha siasa ni muongozo wa kiitikadi na kisera wa chama husika ambao chama husika huutumia kunadi mambo kitakayoyafanya kwa taifa kwa wapiga kura. Ni ahadi yake kwa wananchi katika kampeni za kisiasa. Chama kinajinadi kwa ilani yake.

Chama kikiingia madarakani, serikali inayoongozwa na chama huandaa mipango, bajeti na mapendekezo ya sheria kwa kuzingatia ilani yake kama inavyotarajiwa kisha kuwasilisha bungeni ili yajadiliwe na kukubaliwa au kukataliwa au kurekebishwa na mhimili wa bunge ambao ndio una wawakilishi wa wananchi wenye kusimamia maslahi ya wananchi.

Katika nchi ambayo mihimili na taasisi kuu zinafanya kazi kwa uhuru wake kikatiba, mjadala makini unafanyika bungeni. Kuna yanayokubalika kama yalivyowasilishwa na serikali. Kuna yanayokataliwa na kuna yanayofanyiwa marekebisho kwa maagizo na maelekezo ya bunge. Kinachotoka hapo ni maazimio (detailed) ya bunge kuhusu mipango, bajeti na sheria vilivyokubaliwa/pitishwa. Hayo ndiyo hupelekwa serikalini kwa utekelezaji.

Ikumbukwe kwenye mfumo wa vyama vingi kunakuwa na wabunge wa vyama vingine ambao kutokana na uzito wa hoja zao marekebisho yanaweza kuingiza mapendekezo yao. Hata tulipokuwa na chama kimoja, mijadala ya bunge ilikuwa moto. Kuna baadhi ya mambo yaliyokuwa katika ilani ya chama yalikwama kabisa kufikia utekelezaji au kupitia marekebisho makubwa.

Hii kuwapa watendaji wa serikali ilani ya CCM na kudai ndio kazi yao kuitekeleza ni ujinga mkubwa sana.
 
Back
Top Bottom