Mwandishi Oscar Oscar achukua fomu kugombea nafasi ya Urais TFF

Ila kuongoza mpira kwa nchi ambazo siasa zinaathiri utendaji ni changamoto sana.

Binafsi Tenga ningetamani aendelee uongozi kwa vipindi vingi zaidi, maana jamaa alipiga kazi sana.
Tenga aliunda taasisi za kuendesha mpira wetu Karia kaifanya TFF iwe na matokeo chanya zaidi.

Waongeze programmes nyingi za kuzalisha makocha wengi zaidi tutaanza kupiga hatua
 
Tenga aliunda taasisi za kuendesha mpira wetu Karia kaifanya TFF iwe na matokeo chanya zaidi.

Waongeze programmes nyingi za kuzalisha makocha wengi zaidi tutaanza kupiga hatua

Swala la michezo kurudishwa mashuleni, kama kipindi kile Umishumta na Umiseta, pia sports academies walau kwa kila mkoa na zipate talents kutoka mashuleni (yaani merit ibase kwenye talent).

Au kama siyo academies kuwa na shule ambazo ni special kwa michezo mfano wa Makongo ya Kipingu
 
Hivi nchi za Africa Magharibi huwa zina umitashumita na umiseta ?
 
Hongera Mkuu, maana naona una taarifa ambazo hata wahusika wanaweza kuwa hawazijui.
Sifa yangu Kuu ni Kujichanganya na Makundi mbalimbali na ya kila Rika Tanzania hii na naweza Kuingia sehemu usiyoitarajia na nikapata nikitakacho ( Kimazingira ) bila Kuchukua Nyaraka yoyote ile au hata Kupiga Picha kwani Ubongo wangu na Zawadi kubwa ya Kukariri Kitu na Kushika Jambo na likakaa Akilini mwangu daima ni mkubwa sana.

Mwisho kabisa Silaha yangu Kuu ( Kubwa ) inayonifanya GENTAMYCINE nijue Mambo mengi nje ya kuwa ni " Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer " kama ' nilivyobarikiwa ' na Mwenyezi Mungu ni kupenda mno Kujifanya Ngumbaru ( Mjinga ) na Popoma ( Mpumbavu ) ambapo Watu wengi ' hunidharau ' na ' kunipuuza ' mno hivyo Kunirahisishia katika yale niyafanyayo na ninayotaka Kuyajua kisha bila Hiyana nawaleteeni ( nawabwagieni ) hapa Jamvini JamiiForums.
 
Anataka akafanye Komedi huko....
Watu wengi hasa ( Shallow Minded wa Mfano wako ) hamjui Oscar Oscar anadhamiria kufanya nini, ana Mkakati gani na kwanini Jana kajitosa katika ' Kinyang'anyiro ' hiki ( hicho )

Oscar Oscar nia yake kwa sasa siyo Urais wa TFF 100% bali alichokifanya ni kutaka ' Kujitambulisha ' Kwanza kwa Wadau, aone upepo, ajifunze kisha ajue jinsi ya Kujipanga kwa Uchaguzi Mkuu ujao ambao kama Oscar Oscar ' akijijenga ' vizuri ( hasa Kimikakati ' anaweza Kufanikiwa.

Na nimepenyezewa za chini chini kuwa kuna Uwezekano hata Rais Wallace Karia ( ambaye GENTAMYCINE nataka ashinde Uchaguzi huu na aendelee hapo TFF ) akishinda tu ' akamteua ' Oscar Oscar katika Moja ya Kamati Muhimu ndani ya TFF ili ' Kumjenga ' zaidi Kijana huyu.

Ushauri wangu wa bure kama GENTAMYCINE namuomba Oscar Oscar kwa sasa aungane na Mwana Yanga SC ninayemkubali na Kumuheshimu sana Mchambuzi ' Mwerevu ' na ' Mweledi ' Ally Mayai Tembele waitumie vyema kwa Kujipanga kwa hii miaka Minne ijayo ili Wallace Karia akimaliza basi Ally Mayai agombee Urais wa TFF na akishinda tu amteue Oscar Oscar kuwa Makamu wake wa Urais.

Kwa ' Visions ' zao na uwezo wao mkubwa wa Akili na jinsi walivyo ' Intellectuals ' na ' Academicians ' wakubwa tu mwaka 2026 nitafurahi kuona Ally Mayai anakuwa Rais wa TFF na Oscar Oscar anakuwa Makamu wa Rais wa TFF kwani Soka la dunia la baadae linataka ' Fikra ' chanya na pevu za Wawili hawa ambao GENTAMYCINE nawapenda na nawakubali 99.99%.
 

Hongera sana.
 
game changer, entertainer, charismatic fela, antibiotic agent [emoji23]
 
Yeye Oscar na Kitenge wanapenda mno kuwa na Earphone muda wote sijui kwanini...!
Hii alikua nayo Millard Ayo kitambo Sana
Wakat anafanyia watu interview yeye
Ulikua humkos nazo,Ila hawa ndo naona wamemuiga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…