Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Tenga aliunda taasisi za kuendesha mpira wetu Karia kaifanya TFF iwe na matokeo chanya zaidi.Ila kuongoza mpira kwa nchi ambazo siasa zinaathiri utendaji ni changamoto sana.
Binafsi Tenga ningetamani aendelee uongozi kwa vipindi vingi zaidi, maana jamaa alipiga kazi sana.
Waongeze programmes nyingi za kuzalisha makocha wengi zaidi tutaanza kupiga hatua