Pre GE2025 Mwandishi wa EATV asimulia alivyokamatwa na polisi wakati wa maandamano "Nilizuiwa kuongea na simu"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wanabodi,

Mwandishi wa EATV ambaye jana alikamatwa kwenye maandamano ya CHADEMA siku ya jana, amezungumza kwenye kipindi cha The Drive ambapo alisehoji kuhusu kukamatwa kwake na jinsi ambavyo baadhi ya askari wa jeshi la polisi lilimkataza kupiga simu kuwataarifu watu wake kuwa amekamatwa.

Soma pia: Waandishi wawili kutoka Mwananchi Communications wakamatwa na Jeshi la Polisi

View attachment 3105109
sijui wanatafuta nini hawa,,,mimi nipo huru,nina uhuru wa kunywa gongo,mnazi na kunusa ugoro,,,wakazi wa masaki wanauhuru wa kuvuta unga na shisha,arusha wana uhuru wa kuvuta scanka,sasa 2nataka uhuru gani kuliko huo???
 
Kuna mda unaweza shangaa y hatufiki mbali kumbe ni mambo madogo madogo kama haya hatuyatilii maanani
 
sijui wanatafuta nini hawa,,,mimi nipo huru,nina uhuru wa kunywa gongo,mnazi na kunusa ugoro,,,wakazi wa masaki wanauhuru wa kuvuta unga na shisha,arusha wana uhuru wa kuvuta scanka,sasa 2nataka uhuru gani kuliko huo???
Na mashoga wana uhuru wa kufanya ushoga kwenye kumbi za starehe wanajiachiaaaa
Huku watu wakukatika maunooo

Ova
 
Back
Top Bottom