Mwandishi wa habari akamatwa na Polisi akiwa katika majukumu yake mkoani Mwanza

Vipi bado huyo mama anaupiga mwingi?
Sisikii tena msemo wa Matanga na Sukuma gang,wanapata tabu πŸ˜πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Kweli dunia inaenda Kasi sana, tutaongea kuwa mda utatupa jibu, sasahivi tumeanza kuongea luga moja
 
Wambie ndugu zake wakamdhamini huko Polisi.
Mhalifu ni mhalifu tu....awe mwandishi au sio mwandishi lazima sheria imkate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…