milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Few days ago eneo hilo hilo kumetokea ajali ya malori kugongana na kuwaka moto. Overspeeding kills . Lakini pia barabara za mbeya ni mbovu sana kuanzia igawa hadi tunduma na askari wanachukua sana rushwa sana.