Gari la serikali lilikuwa linafanya nini ???? Najiuliza tu kwa uelewa wangu mdogo
"Kwa upande wake Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkoani hapa, Christopher Uhagile amesema ajali hiyo imetokea wakati wakitoka kumsindikiza Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa, Fadhil Rajabu aliyekuwa na ziara mkoani humo"