LGE2024 Mwandishi wa Habari Mufindi: Rais Samia anafanya kazi nzuri, vijana dumisheni amani Uchaguzi Serikali za Mitaa

LGE2024 Mwandishi wa Habari Mufindi: Rais Samia anafanya kazi nzuri, vijana dumisheni amani Uchaguzi Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Mwanadishi wa Habari unakuwa chawa, wananchi wanatapa watahabarishwa na kupaziwa sauti inapohitajika?

====

Ikiwa zimesalia siku chache kufanyika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, hamasa kwa Vjana imezidi kushamiri kushiriki uchaguzi huo huku wakiaswa kuwa mstari wa mbele tarehe 27/11/2024 siku ya Uchaguzi ili kuwachagua viongozi watakao waletea Maendeleo.

Akizungunza na vijana wa Kata ya Ugenza Wilayani Mufindi katika fainali za mchezo wa mpira wa miguu mgeni rasmi katika mchezo huo ambaye pia ni Mwanahabari Nchini Shalom Robert amewaasa vijana kushiriki kikamilifu katika uchaguzi huo ili kuwaweka Madarakani Viongozi watakao waletea maendeleo kwa kipindi cha miaka 5 ijayo.

Soma, Pia:
 
Back
Top Bottom