Mwandishi wa habari mwenye lafudhi ya Kihindi na broken English aumbuliwa na Trump!

Mwandishi wa habari mwenye lafudhi ya Kihindi na broken English aumbuliwa na Trump!

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Huyu mwandishi wa habari alikuwa anajikakamua na Kingereza chake cha kuunga unga na lafudhi ya Kihindi kwenye press conference ya Trump na Modi Trump akamwambia haelewi hata neno moja analolitamka akaachana naye akaenda kwa mwandishi mwingine.
 
Issue sio hajui kiingereza sema jamaa kampuuza tu.........ni kweli wahindi wana toni yao kwenye matamshi ........ila hata kama ni wewe umekutana na mtu hajui kiswahili vizuri ila anakuongelesha huwezi kujua shida yake hata kama hatumii lafudhi nzuri??
 
Ila ni kama nimeskia mhindi kasema tisizen akimaanisha citizen, nadhani labda mhindi Hana Budi kunoa English yake ukizingatia yeye anahoji na watu wakubwa kama rais wa US.
 
Issue sio hajui kiingereza sema jamaa kampuuza tu.........ni kweli wahindi wana toni yao kwenye matamshi ........ila hata kama ni wewe umekutana na mtu hajui kiswahili vizuri ila anakuongelesha huwezi kujua shida yake hata kama hatumii lafudhi nzuri??
Ubaguzi wa rangi unaanzaga hivyo!
 
That's racism! Trump ni racist
Hisia zako. Trump kasema haelewi achoongea mwandishi - suala la lugha; wewe unakimbilia ubaguzi wa rangi wakati wote wawili ni weupe! Seems wewe ndiye mwenye vi-elements vya ubaguzi.
 
Mkuu, usiombe kusikia Inglishi ya Wabongo; sidhani kama utaweza kula wiki nzima.
Ninyi si miongoni mwa English speaking countries ?

Lakini kiingereza chenu ni kibovu (Kiswaenglish) + poor pronunciations.

Kiingereza chenu kinafaa for essay writing.
 
Juzi kati alimfanyia hivyo wa kutoka Afghanstan🤣. Sema wahindi nao wagumu kweli kuwasikia na accent zao, tunapata shida tukitafuta techsupport youtube.
 
Issue sio hajui kiingereza sema jamaa kampuuza tu.........ni kweli wahindi wana toni yao kwenye matamshi ........ila hata kama ni wewe umekutana na mtu hajui kiswahili vizuri ila anakuongelesha huwezi kujua shida yake hata kama hatumii lafudhi nzuri??
muda brother, aandike swali wamsomehee wezake kusikiliza kisichoeleweka ni kupoteza MUDA(labda mtoto mdogo ambaye mzazi hutenga MUDA wazungumze hata kama haeleweki)
 
Back
Top Bottom