GE2025 Mwandishi wa Habari na Kada wa CCM, Harubu Kabwe: Nitamlinda Rais Samia kwa gharama yoyote, yeye ni Lulu ya Taifa letu

GE2025 Mwandishi wa Habari na Kada wa CCM, Harubu Kabwe: Nitamlinda Rais Samia kwa gharama yoyote, yeye ni Lulu ya Taifa letu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mwandishi wa Habari na Kada wa Chama cha Mapinduzi, Harubu Kabwe amesema; "Nitamlinda Rais wangu Samia Suluhu Hassan kwa gharama yoyote ile, Rais ni Lulu kwa Taifa letu la Tanzania"

 
Wewe acha uchawa kwani Kuna mtu kakwambia anataka kumdhuru Rais Samia?!
Mbona Taifa hili kwa muda mfupi limezalisha watu wajinga wajinga wengi sana?!
Watu wajinga hawataki kujua au kujibu hoja yoyote ya msingi wao ni kukimbilia personalities tu!
 
Back
Top Bottom