Abubakar Karsan
Member
- Oct 27, 2019
- 62
- 45
Mwandishi wa Habari mkongwe ambaye amewahi kufanya kazi, sehemu mbalimbali na hatimae akafanya kazi UTPC chini yangu mimi, amefariki dunia jana asubuhi kwenye hospitali ya rufaa ya Bugando Jijini Mwanza.
Mipango ya mazishi yake tutawaarifuni baadaye leo. Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana lihimidiwe.
========
Umoja wa klabu za waandishi wa habari Tanzania(UTPC) unasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa mfanyakazi wa UTPC, Jacob Kabili kilichotokea tarehe 29/7/2020 katika hospitali ya rufaa ya Bugando baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Marehemu Jacob Kambili enzi za uhai wake
Mwandishi mkongwe Bw. James Nhende akizungumza jambo kuhusu namna alivyofanya kazi na Jacob Kambili mpaka kufikia kustaafu akiwa UTPC