kipenseli2021
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 1,390
- 1,431
Well saidMwandishi wa habari Hakuwa sahihi:
1. Kwenda kupiga picha shuleni bila kibali maalumu ni kosa.
- kajitetea kuwa alikuwa mbali na walipokuwa wanafunzi, kwanini avizie badala ya kwenda moja kwa moja na kujitambulisha kwa uongozi wa hiyo shule?
2. Amekiri kuzisambaza hizo picha jambo linaloenda kinyume na Sheria ya makosa ya kimtandao ya mwaka 2015.
NB: SITETEI UZEMBE WA SERIKALI KATIKA UHABA NA UBOVU WA MIUNDOMBINU YA SHULE, ILA NAMNA MWANDISHI ALIVYOFANYA YUKO KINYUME NA SHERIA.