Mwandishi wa Habari wa Wasafi Media - Arusha, Potte Mmanga adaiwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana

Mwandishi wa Habari wa Wasafi Media - Arusha, Potte Mmanga adaiwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607

Capture1.JPG
Mwandishi wa habari wa Wasafi Media Arusha, Potte Mmanga anadaiwa kukamatwa mchana huu nyuma ya Chuo cha Technical College na watu waliojitambulisha kwake kama askari polisi wakidai wanampeleka ofisi ya RCO kwa mahojiano. Ofisi ya RCO Arusha imesema haina taarifa za kukamatwa kwake.

Chanzo: Watetezi TV
 
Sipati jibu la moja kwa moja mwaka mmoja uliopita ilikuwaje kwa zile kelele zake.

Buy now kelele wala siyo kali na haziumizi sababu inafahamika, ila sasa kama umechagua kazi yako kuwa mkulima usije kupiga kelele eti shamba limevamiwa na ngedere.

Na kama umechagua kuwa konda wa daladala la kutoka magomeni, ikungi, msalato, pawaga, tegeta au donge kuja stendi kuu ya mabasi usipigane na abilia sababu ya mabegi yao, hiyo ni route ya kutoka na kwenda stendi kuu so lazima abilia wake wawe na mizigo.

Umeamua kuwa mwandishi wa habari na umejikuta upo kwenye nchi as TZ, pambana na hali iliyopo vinginevyo andika vitabu vya watoto.

Kila mtu anafuata upepo unapoelekea (mifano ipo hata humu jukwaani) alafu wewe ujifanye 'mi ndo mwandishi mkongwe buana, 😁 lijendari ahahaaa, inakula kwako.

Baadhi mnasahau kama hii ni Afrika au..?.
 
Aheshimiwe LISU mtabiri wakiwamaliza wao watafata wao wakiwamaliza wao watajimaliza wao
 
Back
Top Bottom