Dadio JF-Expert Member Joined Mar 14, 2012 Posts 359 Reaction score 42 Nov 14, 2012 #1 Habari Wana JF. Tafadhali naombeni mniambie mtaalamu wa sheria atakayeweza kuandika makala za sheria katika gazeti letu ambaye ni mzoefu. tafadhali unayemjua nipatatieni na namba zake tafadhali tuna mhitaji sana.
Habari Wana JF. Tafadhali naombeni mniambie mtaalamu wa sheria atakayeweza kuandika makala za sheria katika gazeti letu ambaye ni mzoefu. tafadhali unayemjua nipatatieni na namba zake tafadhali tuna mhitaji sana.
K Kwelitupu Senior Member Joined Aug 22, 2012 Posts 111 Reaction score 94 Nov 14, 2012 #2 Mtafuta Mr. Alloyce Komba, ni mzuri sana. Simu: 0754-362544
mka JF-Expert Member Joined Nov 14, 2010 Posts 318 Reaction score 82 Nov 14, 2012 #3 Mzoefu una maanisha nini mkuu?