Mwandishi wa makala za sheria mzoefu anahitajika haraka

Mwandishi wa makala za sheria mzoefu anahitajika haraka

Dadio

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
359
Reaction score
42
Habari Wana JF. Tafadhali naombeni mniambie mtaalamu wa sheria atakayeweza kuandika makala za sheria katika gazeti letu ambaye ni mzoefu. tafadhali unayemjua nipatatieni na namba zake tafadhali tuna mhitaji sana.
 
Mzoefu una maanisha nini mkuu?
 
Back
Top Bottom