Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Kama umebahatika kusoma kile kitabu ni wazi kuwa yule mwandishi alikuwa anaishi future. Kama yuko hai akamatwe haraka sana na afunguliwe kesi ya uhaini, haiwezekani amseme vile.
Pia waandishi wazuiliwe kuoandika mambo ya ukweli yanayoweza kupelekea wananchi kuchukia viongozi wao.
Waandishi tumieni kalamu zenu kusifia viongozi, wasanii tungeni nyimbo za kutusifia, viongozi wa dini wafundisheni waumini wenu kutupenda na kutuheshimu na kutusifia hata kama mioyo yenu haitukubali.
Msiwe kama huyu mwandishi dhalimu. Najua lazima atapatikana na hatia ili haki itendeke.