Nadhani Tido ni uzee una msumbua, eti umesema na Ulevi.....? Ndo maana............. achana nao hao.
Wafanye wafanyacho, mwaka huu hakuna kurudi nyuma. Hata wafunge vyombo vyote vya habari, mwaka huu hatudanganyiki.
Inawezekana kweli wamemtuma mwandishi, mnafiki kama Tido, anayefuatilia tu Negatives za Chadema ndo maana chopa ilipoharibika aliripoti haraka, mbona haripoti taarifa zingine za kampeni? Ila kama atafahamika nani yupo kwenye msafara huo ni vizuri tumfahamu.
Kwa bahati Mgombea watu hadi sasa anaendelea vizuri na ziara yake, bila shaka kila siku huyo mwandishi anaomba litokee jambo baya ili apate cha kuripoti.