The Observer - PIUS KATUNZI: Kikwete
Haya jamani, waandishi wa Tanzania mko wapi? Mnashindwa kuwa na ujasiri na kusema wazi kuwa Kikwete aliiba kura na ushindi wake ni batili mpaka msaidiwe na majirani zetu wa Uganda? Ni uoga, kukosa ujasiri au mmepewa chochote kitu mkae kimya? Sasa hivi waandishi wa Bongo wamesha sahau scandal kubwa ya wizi wa kura na badala yake wako bize kudakia mbio za uspika, waziri mkuu mpya, baraza la mawaziri, etc.

Mwambieni huyo P. Katunzi kama kweli yeye ni jasiri aandike mambo ya M7... Mbona wao wako na dikteta kwao na wanashindwa kumuandika kama wanavyoshadadia mambo ya nchi jirani??
.... ila waandishi wa hapa walikuwa bize kwenye press kikwete 2010
Mwambieni huyo P. Katunzi kama kweli yeye ni jasiri aandike mambo ya M7... Mbona wao wako na dikteta kwao na wanashindwa kumuandika kama wanavyoshadadia mambo ya nchi jirani??
Mwambieni huyo P. Katunzi kama kweli yeye ni jasiri aandike mambo ya M7... Mbona wao wako na dikteta kwao na wanashindwa kumuandika kama wanavyoshadadia mambo ya nchi jirani??
Waandishi wetu Ben Mkapa aliwaita Makanjanja na alisema hakuna wa kuweza kumuhoji yeye, ikimaanisha wako chini ya kiwango.