PAS
JF-Expert Member
- May 3, 2010
- 454
- 8
Hivi kama mtu hajafikisha mwezi humu hastaili kutoa mawazo yake??? Maana hili nimeliona kwa wengi.. utakuta ohh una thanks 0 mara hivi mara vile...
sometimes ni jokes usiogope mdau.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kama mtu hajafikisha mwezi humu hastaili kutoa mawazo yake??? Maana hili nimeliona kwa wengi.. utakuta ohh una thanks 0 mara hivi mara vile...
Huyo mwandishi ni mchochezi ,awapendi kuona Tanzania tunaishi kwa amani,wanatuonea
gere.
Thats the naked truth. Our Journalist don't have the cojoness to write about this. They're are all kissing CCM's asses.
Waandishi wetu Ben Mkapa aliwaita Makanjanja na alisema hakuna wa kuweza kumuhoji yeye, ikimaanisha wako chini ya kiwango.
Huyo mwandishi ni mchochezi ,awapendi kuona Tanzania tunaishi kwa amani,wanatuonea gere.
the observer - pius katunzi: Kikwete
haya jamani, waandishi wa tanzania mko wapi? Mnashindwa kuwa na ujasiri na kusema wazi kuwa kikwete aliiba kura na ushindi wake ni batili mpaka msaidiwe na majirani zetu wa uganda? Ni uoga, kukosa ujasiri au mmepewa chochote kitu mkae kimya? Sasa hivi waandishi wa bongo wamesha sahau scandal kubwa ya wizi wa kura na badala yake wako bize kudakia mbio za uspika, waziri mkuu mpya, baraza la mawaziri, etc.
Mwambieni huyo P. Katunzi kama kweli yeye ni jasiri aandike mambo ya M7... Mbona wao wako na dikteta kwao na wanashindwa kumuandika kama wanavyoshadadia mambo ya nchi jirani??
Unategemea nini kutoka RAI, mtanzania uhuru and the like? Ni aibu tupu! Unafikili Balile, Manyerere, Salva, Gideon shoo, Muhingo na taka taka hizo zote unazofahamu, wanaweza kuwa competitive kwenye soko la uandishi wa habari wa kweli?! Natamani ningekuwa mwandishi wa habari!Just liked it even if it doesnt change anything. Ama kuhusu TZ makanjanja Ben was right! Senior editor anapewa maswali ya kuuliza kwenye conference ya candidate, yalikuwa maajabu ya nane ya dunia!