Suala siyo kuwa eti kwao mseveni anawaendesha, kwa mtu mwenye akili zisizo na tope, ndo hapo kujua ya kuwa hivi kumbe kikwete ni mwizi hadi nje ya nchi wanamjua? Thus, una-take note katika hilo, then unajiuliza tufanye nini kuondoa hiyo hali. Kama jamaa ni mwizi, 'na hili siyo kificho, kila mtu anajua ya kuwa kaingia pale ikulu term hii kwa kuiba kura', tumdhibitim vipi.
Huyu jamaa anakera sana, anang'ang'ania madaraka huku hawezi, yaani basi tu. sema sijawahi kuonana nae, namfanya kitu mbaya kwa kweli. wajinga wanaomsupport, waendelee