Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hatari ni kwamba unaweza kesho kwenda Urafiki usimkute na wala Iringa nako usimkute !Hawataki uovu wao ujulikane sio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari ni kwamba unaweza kesho kwenda Urafiki usimkute na wala Iringa nako usimkute !Hawataki uovu wao ujulikane sio
😊😊😊😊😊Duh! SADC oyee!
Naona katendewa haki kisheria kwa kuwa kwanza ameitwa kituoni, pili amehojiwa mbele ya wakili wake. Naamini siyo tu kwamba haki itatendeka bali itaonekana inatendeka. Kama ana vipicha vya hao kulawitiana ama confession yao kwamba wamelawitiana, basi anaweze ku prove mahakamani kwamba alichoandika/alicho ripoti ni sahihi.TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUKAMATWA KWA MWANDISHI WA HABARI ZA KIUCHUNGUZI JOSEPH GANDYE WA WATETEZI TV.
1.0 Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu una laani tukio la kukamatwa kwa Mwandishi wa Habari Joseph Gandye, ambaye ni Mhariri wa Uzalishaji Maudhui msimamizi msaidizi wa Watetezi TV.
Gandye alikamatwa leo tarehe 22.08.2019 baada ya kupigiwa simu na askari aliyejitambulisha kwa jina la Godfrey Mkude ambaye alimtaka mwandishi huyo kwenda kituo cha polisi Urafiki kwa ajili ya mahojiano.
Baada ya kuchukuliwa maelezo chini ya wakili Jones Sendodo, dhamana yake ilikataliwa kwa maelezo kwamba amri ya kumkamata imetoka Iringa hivyo kituo cha polisi Urafiki wao wanamuhifadhi na baadae atapelekwa Iringa kwa ajili ya taratibu zingine.
2.0 Mnamo Juni 17, 2019 Waandishi wa habari wa Kituo cha Luninga cha mtandaoni (Online TV) cha Watetezi TV walipokea taarifa ya kuwepo kwa vitendo vya udhalilishwaji wa watuhumiwa katika Kituo cha Polisi Mafinga mkoani Iringa.
Baada ya kupokea taarifa hiyo, Mwandishi Joseph Gadye alifunga safari hadi mkoani Iringa kwa ajili ya kufuatilia habari hiyo kwa kufanya uchunguzi wa kutosha na mnamo Agosti 09, 2019 Watetezi TV iliripoti tukio la ukatili wa Askari wa jeshi la polisi katika Kituo cha Polisi Mafinga mkoani Iringa katika mitandao yake (Facebook, Twitter na You tube channel).
Katika tukio hilo inadaiwa kuwa vijana sita (Majina yao yanahifadhiwa) wakazi wa Mafinga walikamatwa na kuteswa na maofisa kwa jeshi la polisi na inadaiwa kuwa walipigwa na kulazimishwa kulawitiana wao kwao wakiwa kituoni.
Watuhumiwa hao sita walikamatwa na jeshi la polisi mnamo mwezi Mei 19, 2019 na kushikiliwa kwa takribani siku 10 katika Kituo cha Polisi Mafinga, ambapo inadaiwa kuwa walipigwa na kulazimishwa kulawitiana wao kwa wao mbele ya maofisa wa jeshi la polisi kituo cha Mafinga wakati wakifanyiwa mahojiano.
Baada ya Watetezi TV kutoa ripoti yake sehemu ya kwanza Agosti 09, 2019 kuhusu ukatili huo, jeshi la polisi mkoani Iringa kupitia kwa Kamanda wa Polisi mkoa (RPC), ACP Juma Bwire ilikanusha taarifa hiyo na kudai kuwa ni uongo unaosambazwa mitandaoni kwa lengo la kulidhalilisha jeshi la polisi na kuichafua serikali kwa ujumla.
“Jeshi la polisi mkoa wa Iringa linaonya hao watu wanaotoa taarifa za uongo na upotoshaji zenye lengo la kudhalilisha jeshi la polisi Tanzania na serikali kwa ujumla. Hivyo, tunatoa onyo watu wenye tabia hizo kuacha mara moja. Aidha, nimemuagiza mkuu wa upelelezi afuatilie kwa watu wanaopotosha na kutoa taarifa za uongo. Pindi watakapopatikana basi hatua za kisheria zichukuliwe. Na sasa hivi tunaendelea kufuatilia kwenye mitandao taarifa mbalimbali zikirushwa. Kwahiyo, atakayebainika tutachukua hatua kali za kisheria,” alisema RPC Bwire katika taarifa yake na wanahabari mnamo Agosti 14, 2019.
3.0 Leo Agosti 22, 2019 Mwandishi wa habari Watetezi TV, Joseph Gandye aliyechapisha habari hiyo ametakiwa kuripoti Kituo cha Polisi Urafiki, Dar es Salaam kwa ajili ya mahojiano.
Gandye ambaye alipigiwa simu leo majira ya saa 05.20 alifika kituoni hapo na kusubiri zaidi ya masaa 2.
Hatimaye Mwandishi huyo alihojiwa mbele ya Wakili Jones Sendodo kwa tuhuma za kuchapisha habari za uongo mtandaoni kinyume na Sheria ya Makosa ya Mtandao.
Mwandishi Joseph Gandye amekamatwa rasmi katika kituo cha polisi Urafiki jijini Dar es Salaam . Mkuu wa kituo hicho amesema hawezi kumpa dhamana kwa kua hana mamlaka yoyote kwa kua aliemkamata ni polisi kutoka Iringa .
Polisi kutoka Iringa wanafanya mipango ya kumsafirisha Joseph Gandye kwenda mkoani Iringa.
4.0 Itakumbukwa mwandishi huyu ndie alietoa habari ya mwanafunzi Hosea Manga, aliechapwa na mwalimu mpaka kuvunjika uti wa mgongo mkoani Njombe.
Vilevile aliripoti kuhusu uonevu uliokua unafanywa na polisi Loliondo na kwa taarifa hiyo kupitia Watetezi TV Waziri wa mambo ya ndani Mh. Kangi Lugola aliweza kufatilia suala hilo na kulifanyia kazi.
Mwandishi Joseph Gandye si tu miongoni mwa mwandishi mahiri bali mtayarishaji mzuri wa kipindi cha vya vipindi Haki za Binadamu kinachorushwa live kila siku ya ijumaa saa 10 kamili jioni ndani ya studio za Watetezi TV.
5.0 WITO KWA JESHI LA POLISI MAFINGA
1. Kuzingatia haki zote za mtuhumiwa , kuto kuteswa wala kutwezwa utu wake
2. Haki ya dhamana itolewe kwa kua kosa analotuhumiwa linadhaminika
3. Uchunguzi ufanyike kuhusu tuhuma za udhalilishwaji na uvunjwaji wa haki za binadamu unaofanywa dhidi ya watuhumiwa katika kituo hicho cha polisi.
4. Kuwaacha Waandishi wa Habari wafanye kazi zao bila kuwakamata mara kwa mara .
Imetolewa na Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania.
Onesmo Olengurumwa
Dar es Salaam
22. 08.2019
Zaidi, soma;
Iringa: Polisi wadaiwa kuwaamuru watuhumiwa wa wizi kulawitiana
Baadhi ya wafanyakazi wa kiwanda cha hong way interntional ltd kilichopo Mafinga wanalalamika kwa kulazimishwa kulawitiana. Wanasema amri hiyo ilitolewa na askari baada ya kupelekwa kituoni kama watuhumiwa kwenye kiwanda hicho. ==== Vijana 5 Waliokua Wafanyakazi Wa Kiwanda Cha Hongway...www.jamiiforums.com
Nadhan kitaalam tungeanza kwanza na ya kukutwa na Meno ya tembo ili akipanda mahakamani ndo wanaikuta ya kutakatisha hela, waonaje hii mkuu.Police tukubaliane mapema..tunaanzia kwenye uraia au turuke moja kwa moja kwenye uhujumu uchumi?
#MembeSemaNeno#
#MwagaPombe2020#
..hili halikubalikiHuyo muandishi ana lengo la kumkwamisha rais.
Ila waandishi tungejiongeza. Ili kuepuka ugonvi na $ tungehamishia uchunguzi wetu kwenye mambo mengine. Kunguru mwoga.................Nimeikumbuika hii habari na nilijua tu italeta shida kwa muhusika.
Police tukubaliane mapema..tunaanzia kwenye uraia au turuke moja kwa moja kwenye uhujumu uchumi?
#MembeSemaNeno#
#MwagaPombe2020#
Nadhani yeye hakutakiwa kukamatwa kwa kuchapisha au kusambaza habari hii.Hii habari niliiona ukienda you tube ya hao watetezi online TV ipo, huyu jamaa alikuwa anawahoji vijana waliofanyiwa hivyo vitendo viovu sasa, washitakiwa wameongea wenyewe jamaa yy katuhabarisha tuu, sasa sijui kosa Lake ni lipi yaani jeshi letu kwa kuficha maovu kisa kulindana ni suala linalotufanya tuendelee kutokuwa na imani nalo katika kulinda usalama wa raia
Waliofanyiwa ukatili huo wahojiwe mubashara na vituo vya luninga ( television) ili Watanzania wajue nani anstahili kuadhibiwa.
Mimi nahisi kukamatwa sio shida. Kama alichokiandika ana uhakika nacho na uthibitisho anao. Lakini kama alibumba acha ashughulikiwe ili asitulishe matangopori
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUKAMATWA KWA MWANDISHI WA HABARI ZA KIUCHUNGUZI JOSEPH GANDYE WA WATETEZI TV.
1.0 Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu una laani tukio la kukamatwa kwa Mwandishi wa Habari Joseph Gandye, ambaye ni Mhariri wa Uzalishaji Maudhui msimamizi msaidizi wa Watetezi TV.
Gandye alikamatwa leo tarehe 22.08.2019 baada ya kupigiwa simu na askari aliyejitambulisha kwa jina la Godfrey Mkude ambaye alimtaka mwandishi huyo kwenda kituo cha polisi Urafiki kwa ajili ya mahojiano.
Baada ya kuchukuliwa maelezo chini ya wakili Jones Sendodo, dhamana yake ilikataliwa kwa maelezo kwamba amri ya kumkamata imetoka Iringa hivyo kituo cha polisi Urafiki wao wanamuhifadhi na baadae atapelekwa Iringa kwa ajili ya taratibu zingine.
2.0 Mnamo Juni 17, 2019 Waandishi wa habari wa Kituo cha Luninga cha mtandaoni (Online TV) cha Watetezi TV walipokea taarifa ya kuwepo kwa vitendo vya udhalilishwaji wa watuhumiwa katika Kituo cha Polisi Mafinga mkoani Iringa.
Baada ya kupokea taarifa hiyo, Mwandishi Joseph Gadye alifunga safari hadi mkoani Iringa kwa ajili ya kufuatilia habari hiyo kwa kufanya uchunguzi wa kutosha na mnamo Agosti 09, 2019 Watetezi TV iliripoti tukio la ukatili wa Askari wa jeshi la polisi katika Kituo cha Polisi Mafinga mkoani Iringa katika mitandao yake (Facebook, Twitter na You tube channel).
Katika tukio hilo inadaiwa kuwa vijana sita (Majina yao yanahifadhiwa) wakazi wa Mafinga walikamatwa na kuteswa na maofisa kwa jeshi la polisi na inadaiwa kuwa walipigwa na kulazimishwa kulawitiana wao kwao wakiwa kituoni.
Watuhumiwa hao sita walikamatwa na jeshi la polisi mnamo mwezi Mei 19, 2019 na kushikiliwa kwa takribani siku 10 katika Kituo cha Polisi Mafinga, ambapo inadaiwa kuwa walipigwa na kulazimishwa kulawitiana wao kwa wao mbele ya maofisa wa jeshi la polisi kituo cha Mafinga wakati wakifanyiwa mahojiano.
Baada ya Watetezi TV kutoa ripoti yake sehemu ya kwanza Agosti 09, 2019 kuhusu ukatili huo, jeshi la polisi mkoani Iringa kupitia kwa Kamanda wa Polisi mkoa (RPC), ACP Juma Bwire ilikanusha taarifa hiyo na kudai kuwa ni uongo unaosambazwa mitandaoni kwa lengo la kulidhalilisha jeshi la polisi na kuichafua serikali kwa ujumla.
“Jeshi la polisi mkoa wa Iringa linaonya hao watu wanaotoa taarifa za uongo na upotoshaji zenye lengo la kudhalilisha jeshi la polisi Tanzania na serikali kwa ujumla. Hivyo, tunatoa onyo watu wenye tabia hizo kuacha mara moja. Aidha, nimemuagiza mkuu wa upelelezi afuatilie kwa watu wanaopotosha na kutoa taarifa za uongo. Pindi watakapopatikana basi hatua za kisheria zichukuliwe. Na sasa hivi tunaendelea kufuatilia kwenye mitandao taarifa mbalimbali zikirushwa. Kwahiyo, atakayebainika tutachukua hatua kali za kisheria,” alisema RPC Bwire katika taarifa yake na wanahabari mnamo Agosti 14, 2019.
3.0 Leo Agosti 22, 2019 Mwandishi wa habari Watetezi TV, Joseph Gandye aliyechapisha habari hiyo ametakiwa kuripoti Kituo cha Polisi Urafiki, Dar es Salaam kwa ajili ya mahojiano.
Gandye ambaye alipigiwa simu leo majira ya saa 05.20 alifika kituoni hapo na kusubiri zaidi ya masaa 2.
Hatimaye Mwandishi huyo alihojiwa mbele ya Wakili Jones Sendodo kwa tuhuma za kuchapisha habari za uongo mtandaoni kinyume na Sheria ya Makosa ya Mtandao.
Mwandishi Joseph Gandye amekamatwa rasmi katika kituo cha polisi Urafiki jijini Dar es Salaam . Mkuu wa kituo hicho amesema hawezi kumpa dhamana kwa kua hana mamlaka yoyote kwa kua aliemkamata ni polisi kutoka Iringa .
Polisi kutoka Iringa wanafanya mipango ya kumsafirisha Joseph Gandye kwenda mkoani Iringa.
4.0 Itakumbukwa mwandishi huyu ndie alietoa habari ya mwanafunzi Hosea Manga, aliechapwa na mwalimu mpaka kuvunjika uti wa mgongo mkoani Njombe.
Vilevile aliripoti kuhusu uonevu uliokua unafanywa na polisi Loliondo na kwa taarifa hiyo kupitia Watetezi TV Waziri wa mambo ya ndani Mh. Kangi Lugola aliweza kufatilia suala hilo na kulifanyia kazi.
Mwandishi Joseph Gandye si tu miongoni mwa mwandishi mahiri bali mtayarishaji mzuri wa kipindi cha vya vipindi Haki za Binadamu kinachorushwa live kila siku ya ijumaa saa 10 kamili jioni ndani ya studio za Watetezi TV.
5.0 WITO KWA JESHI LA POLISI MAFINGA
1. Kuzingatia haki zote za mtuhumiwa , kuto kuteswa wala kutwezwa utu wake
2. Haki ya dhamana itolewe kwa kua kosa analotuhumiwa linadhaminika
3. Uchunguzi ufanyike kuhusu tuhuma za udhalilishwaji na uvunjwaji wa haki za binadamu unaofanywa dhidi ya watuhumiwa katika kituo hicho cha polisi.
4. Kuwaacha Waandishi wa Habari wafanye kazi zao bila kuwakamata mara kwa mara .
Imetolewa na Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania.
Onesmo Olengurumwa
Dar es Salaam
22. 08.2019
Zaidi, soma;
Iringa: Polisi wadaiwa kuwaamuru watuhumiwa wa wizi kulawitiana
Baadhi ya wafanyakazi wa kiwanda cha hong way interntional ltd kilichopo Mafinga wanalalamika kwa kulazimishwa kulawitiana. Wanasema amri hiyo ilitolewa na askari baada ya kupelekwa kituoni kama watuhumiwa kwenye kiwanda hicho. ==== Vijana 5 Waliokua Wafanyakazi Wa Kiwanda Cha Hongway...www.jamiiforums.com
Polisi wao ndio watuhumiwa halafu wenyewe wajichunguze?TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUKAMATWA KWA MWANDISHI WA HABARI ZA KIUCHUNGUZI JOSEPH GANDYE WA WATETEZI TV.