Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Yaani mimi nipo kundi moja na mwamba mshamba achekwi.....Kuna miandiko inanichanganya humu mwenzenu,
Mwachiluwi
Poor Brain
mshamba_hachekwi
KENZY
Muda wote wapo kicomedy comedy naonaga kama mtu mmoja ila najua sio mmoja basi tu nawafananisha
Wengine ni hawa
min -me
Half american
Wapole pole flani hivi km waoga waoga miandiko yenu na nyie inafanana
Hakuna siku umeongea point kama leo mkuuHujakosea, hapo wote tunapenda mishangazi kama wewe hapo.
Mkuu mi nimtaka huyo kapeace hayo mambo mengine mtajua wenyewe!..πYaani mimi nipo kundi moja na mwamba mshamba achekwi.....
Thank you GOD now na mimi nina akili sasa wewe mshamba_hachekwi habari za kunisema uache mi na wewe ni equally yaan wewe mimi, Mwachiluwi
Cha kufurahia zaidi nimewekwa kundi moj na mwamba wa astrophysics afrika mashariki na kati Mr KENZY
Kenzi last time nilisema wewe sio mda tutakua pamoja unaona sasa...
Kiufupi Kapeace umejua kunifurahisha sana sana sana.... ππππππππππππ
Alafu unakuta kwenye hilo kundi kuna mtu anakwambia apendi mishangazi, kama hana wazimu ni nini...
Hahaha πππ.Jiheshimu kutoleana Siri huku,
Hivyo vikarolaiti vyenu ntavipiga marufuku hapa π π
Akili mfanano yani mnanichanganyaga nikisoma kama nimemsoma yuleHujakosea, hapo wote tunapenda mishangazi kama wewe hapo.
Nyie ni wanne wanneHapana mkuu dunian wawili wawili
Nimeshamsoma anako kaumalaya flani hiviNi mchafunzi uyo story zake niulizee
Kwanza majina yenu mi nachekaga kabla ya kusoma hata mlichopostYaani mimi nipo kundi moja na mwamba mshamba achekwi.....
Thank you GOD now na mimi nina akili sasa wewe mshamba_hachekwi habari za kunisema uache mi na wewe ni equally yaan wewe mimi, Mwachiluwi
Cha kufurahia zaidi nimewekwa kundi moj na mwamba wa astrophysics afrika mashariki na kati Mr KENZY
Kenzi last time nilisema wewe sio mda tutakua pamoja unaona sasa...
Kiufupi Kapeace umejua kunifurahisha sana sana sana.... ππππππππππππ
Alafu unakuta kwenye hilo kundi kuna mtu anakwambia apendi mishangazi, kama hana wazimu ni nini...
Mwingine ni Mpaji Mungu sema kanajificha ficha sana hakaMkuu mi nimtaka huyo kapeace hayo mambo mengine mtajua wenyewe!..π
Mh! wachana na hao hebu nijubu kwanza...Mwingine ni Mpaji Mungu sema kanajificha ficha sana haka
Ningewahi kidogo ningekuzaa ujueMh! wachana na hao hebu nijubu kwanza...
Back headπWhat about kichogo in English
Usinichekee pls πHahaha πππ.
Yaelekea unalijua jibu. Hebu sasa tuambie kukomba mboga utasemaje kwa Kiingereza?Uongoo
Mh! nitaamini vipi..?Ningewahi kidogo ningekuzaa ujue
GAPWakuu anejua mwanya ini english
Imekaa poa au sio πNyie ni wanne wanne