Mwanya unaniharibia mipango, nisaidieni!

kilambimkwidu

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2017
Posts
6,097
Reaction score
7,199
Wataalam,

Nina mwanya kwenye taya la chini. Mwanzo niliona kama issue ya kawaida tu coz ilikua ngumu mtu kunotice, mwanya ulikua mdogo sana. But kadiri siku zinavoenda naona unazidi kupanuka kiasi kwamba mtu asiyenifahamu leo anaweza kufikiri nimeng'oa jino (nina pengo). Sometimes ninapoongea na mtu nakosa confidence ya kumuangalia usoni au nakua nalazimisha kufumba kinywa ili mwanya usionekane.

Siufurahii kabisa hali hii na ningependa kuziba au kuadjust meno yafunge (kama inawezekana). Naomba kufahamu ni hosipitali gani au Dr yupi hapa Dsm anaweza fanya hii kazi na teknolojia ipi itatumika (kuadjust, kuweka jino la 33, n.k). Pia naomba kujulishwa gharama zake na muda utakaotumika hadi kurekebisha hii hali kama kuna anayefahamu au aliwahi fanya tiba hii.

NB:
*Jinsi yngu ni ME
*Umri early 30's
*Sijawahi ng'oa jino

 
Mimi sio dentist ila nachojua inawezekana kurekebisha dental formula kwa kutumia zile vyuma wanavaa kwenye meno wanaita "braces" Kama sijakosea. Jaribu kumuona daktari wa meno.
Thanks mkuuu, unayo hospital au dentist yyte wa kumrecommend niende?
 
Mpangilio wa meno utaharibika maan ww unatak kuziba sehem
Mungu aliacha waz sasa jiulize kitatokea nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…