Mwanya unaoongezeka kila siku

the muter

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Posts
1,347
Reaction score
1,828
Wakuu nisaidieni huu ugojwa gani,na kipi nifanye kuzuia tatizo lisiendelee? Toka niko Mdogo nilikuwa nna mwanya mdogo ila umeongezeka mpaka sasa nkichonga jino la bandia wanaweka meno mawili.

Madaktar pia hushangaa sana wanaponichukua vipimo ili kunichongea meno ya bandia kwani idadi yangu ya meno ni kamili tofauti na wengi wanavyodhani nina pengo.
 

Bila shaka mkuu meno yako yatakuwa yanakuwa kwa kutokeza mbele LA kufanya kapo nenda hospital uwekewe vile vyuma vya kurudishaekurudisha meno kama una cash kidogo then uone baada ya miez kadhaa kama chuo mwanya utakuwepo tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…