Wakuu nisaidieni huu ugojwa gani,na kipi nifanye kuzuia tatizo lisiendelee? Toka niko Mdogo nilikuwa nna mwanya mdogo ila umeongezeka mpaka sasa nkichonga jino la bandia wanaweka meno mawili.
Madaktar pia hushangaa sana wanaponichukua vipimo ili kunichongea meno ya bandia kwani idadi yangu ya meno ni kamili tofauti na wengi wanavyodhani nina pengo.