MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Kwani uzuri wa mwanya ni nini? Mbu kwa nini unapenda mwanya wa mpenzi wako? Labda tuanzie hapo. Tukishajua nini uzuri au matumizi au kinafanya watu wanaopenda mwanya wapemde mwanya ndo tuangalie kama hizo sababu haziapply kwa mwanaume kabla ya kujudge kama mwana ni urembo na kama ni mwanamke pekee anayefaa au pendeza kuwa nao.