MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Kwani uzuri wa mwanya ni nini? Mbu kwa nini unapenda mwanya wa mpenzi wako? Labda tuanzie hapo. Tukishajua nini uzuri au matumizi au kinafanya watu wanaopenda mwanya wapemde mwanya ndo tuangalie kama hizo sababu haziapply kwa mwanaume kabla ya kujudge kama mwana ni urembo na kama ni mwanamke pekee anayefaa au pendeza kuwa nao.Shantel una mambo!!! Aiii! Mi ctaki. Nnao mwanya lakini cupendi! Lol uko kama pengo kweli cupendi
...Big up kwa wanawake warembo wa JF wenye mwanya (kama mpo, ni warembo mjitambue.) W'wake wenye mwanya Mnapendeza sana. Halafu, wote niliobahatika kukutana nao (wenye mwanya-mdomoni) ni warembo tosha.
Nini mtazamo wako?
Hahaha kwa vile nmesema nnao lol langu mie pengo Mbu! Kweli cupendi. Ah mbona hujanjibu kwa nini waupenda au nini kikupendezacho kwa mtu mwenye mwanya? Je wapenda tu uona unavyowaka akicheka, je una matumizi yake maalum kunako zizini, au ? Nini hasa chakufanya we upende mwanya?Huu wa pichani huu, nataman ngeupata mie, ngewekea bima tabasamu langu!LOL,...e bana wee....Mwj1 nimetuma application letter kwa fax,....isubirie hapo hapo, kumbe nawe una mwanya ee?Sasa nikujibu nini mie ilhali tayari majibu nishayabainisha hapa;Should I say more? hapana mengine acha niyahifadhi moyoni kwa matumizi ya baadae. Kwasasa acha nivute kiti sawa hapa nikivutia taswira hayo ulojaaliwa mashaallah!
Hahaha kwa vile nmesema nnao lol langu mie pengo Mbu! Kweli cupendi. Ah mbona hujanjibu kwa nini waupenda au nini kikupendezacho kwa mtu mwenye mwanya? Je wapenda tu uona unavyowaka akicheka, je una matumizi yake maalum kunako zizini, au ? Nini hasa chakufanya we upende mwanya?Huu wa pichani huu, nataman ngeupata mie, ngewekea bima tabasamu langu!
Mh kipi nlichosema cha ajabu wajameni? Au hayo majibuyo ya maswali yangu ndo yangeupeleka uzi huu kule? Haya basi naishia hapa!Haya mwanya uzuri wa asili ingawa kuna watu wanaouziba!mnhh, we unataka huu unyuzi upelekwe jukwaa la wakubwa si ndio?siri naijua mie...x
Thats what am talking about Shantel........yaani wangu uko eklsaktili kama mojawapo wa chochoo za Mji Mkongwe Zanziba....huwezinkuta nacheka pasipofunika na kiganja mwe!!Kuna mi anya mingine kama uchochoro
Mh kipi nlichosema cha ajabu wajameni? Au hayo majibuyo ya maswali yangu ndo yangeupeleka uzi huu kule? Haya basi naishia hapa!Haya mwanya uzuri wa asili ingawa kuna watu wanaouziba!
.......Said I loved you but I lied, This is more than what I feeI inside.......Michael Bolton, Soul Provider.
...Wow, Mwj1 nimeipenda signature yako mpya. ngoja sasa nipekue kwenye kapu huo wimbo na Lyrics zake.