Nyakijooga
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 524
- 829
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Rajab Abdulrahman Mwanyejiti, amesema kuwa katika kipindi cha uchaguzi, CCM huwa haina masihara katika kutafuta dola.
Amesema kuwa wanahamasishwa na kazi inayoendelea kufanywa na Rais Samia Suluhu Hassan, ambaye anaongoza Serikali ya CCM.
Ameyasema hayo Februari 15, 2026, mkoani Tanga.
Amesema kuwa wanahamasishwa na kazi inayoendelea kufanywa na Rais Samia Suluhu Hassan, ambaye anaongoza Serikali ya CCM.
Ameyasema hayo Februari 15, 2026, mkoani Tanga.