Mwanyekiti CCM Tanga, Rajab Abdurrahman: Wakati wa uchaguzi, CCM haina masihara katika kutafuta dola

Nyakijooga

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2018
Posts
524
Reaction score
829
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Rajab Abdulrahman Mwanyejiti, amesema kuwa katika kipindi cha uchaguzi, CCM huwa haina masihara katika kutafuta dola.

Your browser is not able to display this video.

Amesema kuwa wanahamasishwa na kazi inayoendelea kufanywa na Rais Samia Suluhu Hassan, ambaye anaongoza Serikali ya CCM.

Ameyasema hayo Februari 15, 2026, mkoani Tanga.
 
Ndyo mana waliua ilimradi wachukue dola kwa nguvu
 
Atakufa vibaya ja dhambi ya watu aliowaua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…