Mwanyewe anafikiri comedy, kwangu mimi love story

Kishimbe wa Kishimbe

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
5,566
Reaction score
5,477
  1. MWENYEWE ANAFIKIRI COMEDY, KWANGU MIMI LOVE STORY!

Tumsifu Yesu kristo wadau!
Bwana Yesu asifiwe wadau!
Asalaam aleykum wadau!

Inanibidi tu niwaambie yanayonisibu maana siwezi tena kukaa nayo peke yangu, maana yanawezanitoa roho!

Kuna dada mmoja, jina simtaji, maana mh!............ Dada huyo anacheza maigizo fulani ya comedy kwenye TV fulani nguli nchini, siitaji maana hata mia hapa nilipo sina! Comedy show yenyewe inaitwa MIZ****E. Swow ya kwanza nilicheka sana maana kwa kweli ilikuwa inachekesha mno, kama kawaida, maana kwa kweli muandaaji pamoja na wadau wa kipindi hicho kwakweli wanajituma vilivyo. Na hapa ninapoandaa uzi huu nimetoka kuangalia show yao ingine ya kusisimua na kuchekesha!

Yote hayo tisa, lakini kubwa zaidi ni kwamba 'I'M GRADUALLY FALLING, DEEPLY, IN LOVE WITH THE BEAUTIFULL LADY WHO IS ALSO A GENIUS COMEDIAN!'. Yaani, ndugu zangu, timetable ya hicho kipindi ipo kwenye viganja vyangu kwa ajili ya huyo dada tu na kila show inavyoendelea machoni mwangu huwa sijitambui kama naangalia comedy au njozi yangu ya mahaba mazito! Kwa kifupi nampenda mno huyo dada! KILA NIMUONAPO NAPATWA NA KIHARUSI CHA MAHABA!

Kama ameolewa nitajitahidi kumpenda na mme wake maana ukipenda boga penda na ua lake. WADAU NAOMBA MSAADA WENU WA MCHANGO WA MAWAZO MAANA SIJUI NIFANYEJE! Mwenye kuweza kuniunganisha naye, kama 'single', aje inbox!
Tafadhali asiogope avatar yangu, sifanani nayo kwa sura wala roho!
 
Atakufaa sana mke mwema hutoka kwa bwana nayeye utamtoa kwa bwana
😎😎😎 😱😱 πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€! Na atoke kwa Bwana, sio bwana!
 
Pitia pale Camp Bar Tabata Bima utamkuta. Ukimkosa pitia pale Tabata Sanene, kuna grosari karibu na Ugombolwa Polisi utamkuta na utabonga nae na kumwaga sera zako, naamini atakuelewa tu na nikutakie kila la heri.
 
Pitia pale Camp Bar Tabata Bima utamkuta. Ukimkosa pitia pale Tabata Sanene, kuna grosari karibu na Ugombolwa Polisi utamkuta na utabonga nae na kumwaga sera zako, naamini atakuelewa tu na nikutakie kila la heri.

Una uhakika?
 
Mke wa mtu na ana mtoto
Ahsante!πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„!
Sikitu, wote wakwangu, mmewe rafiki, yeye keshakuwa mtani wangu, shem, na mtoto wangu!
Ningeshangaa sana kama wanaume wa shoka wangekuwa bado wanalaza damu! Wanawake wa sampuli hiyo hata wawe na visa kiasi gani wanaume huwafuata kama mbwa na chatu! Yaani mahaba nipige, niue nigaragaze na USINIULIZE NI KWANINI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…