Vp ile laana ya kumuua Bensaatisa itamwacha salama kweli, au ndiyo atafanywa kuni huko kuzimu aliko?Laana ya kumtukama Magufuli haitamwacha salama Zito kabwe na Lisu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp ile laana ya kumuua Bensaatisa itamwacha salama kweli, au ndiyo atafanywa kuni huko kuzimu aliko?Laana ya kumtukama Magufuli haitamwacha salama Zito kabwe na Lisu.
Yaani kuna mkono wa CCM hapo?CUF wanarudi kwa kasi sana.
Sijui ni nini kimetokea kati ya CCM na ACT wazalendo?!
Jibu liko katika swali, je dereva ana asili ya wapi na kafu ina nguvu wapi? Mwisho dereva na kafu wote wanatoka kule ambako wakifa watapewa mabikira sita.CUF wanarudi kwa kasi sana.
Sijui ni nini kimetokea kati ya CCM na ACT wazalendo?!
Juma duni haji anataka katiba mpya na tume huru ya uchaguzi..vitu ambavyo chama cha majizi hakutaki kusikia..so wameqnza kuwekeza upya cuf ili wapotoshe hoja ya katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.CUF wanarudi kwa kasi sana.
Sijui ni nini kimetokea kati ya CCM na ACT wazalendo?!
Aliyalaaniwa keshazikwa ChatoLaana ya kumtukama Magufuli haitamwacha salama Zito kabwe na Lisu.
Magufuli kitu gani katika ufalme huu?Laana ya kumtukama Magufuli haitamwacha salama Zito kabwe na Lisu.