Jibu liko katika swali, je dereva ana asili ya wapi na kafu ina nguvu wapi? Mwisho dereva na kafu wote wanatoka kule ambako wakifa watapewa mabikira sita.
Juma duni haji anataka katiba mpya na tume huru ya uchaguzi..vitu ambavyo chama cha majizi hakutaki kusikia..so wameqnza kuwekeza upya cuf ili wapotoshe hoja ya katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.