Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
- #41
Mie Nimeshindwa kumjibu! 😡Jengo la abiria ndo lililobakia na ndo lipo linajengwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie Nimeshindwa kumjibu! 😡Jengo la abiria ndo lililobakia na ndo lipo linajengwa.
kwani huoni uwanja ukifanya kazi? mbona swali la kipoyoyo?
Mie Nimeshindwa kumjibu! 😡
Sorry niliona kama mzaha! 🙏
MY TAKE
Hivi Kisumu International Airport inaruka kwenda wapi nje ya Kunyaland?
#UkaidiwaKagame#
#Akilizahandshake#
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Yosef Festo Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala kikihboy nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
What's the work of ATCL kama ndege za nchi zingine zonatoka kwako kuja alichukua mizigo kwenyu?
Sorry niliona kama mzaha! [emoji120]
Nimekuelewa mkuu wangukwani umeambiwa Mbeya haina potential? Mwanza na Mbeya wapi kuna fertile soils? Uvuvi Lake Nyasa? Ubaya wa uwanja wa Songwe Mbeya ni rushwa ya serikali ya Kikwete ila kuna potentials kubwa sana kule hata kwa madini tofauti tofauti japokuwa dhahabu ni kidogo na the area is general underexplored n -exploited!
Nimekuelewa mkuu wangu
Typed Using KIDOLE
Very very strategic man...nmeangalia ramani ndo nmepata picha zaidi...Hapo Border country zote capital cities ziko mbali na mbeya..tht means mbeya could save as capital to those other towns near..it
Msikilize jamaa wa Zambia anavyoongea kuhusu utegemezi wa Zambia kwa Nakonde border!
Kama si rushwa na uzembe wa serikali ya Kikwete kuipa briefcase company ya Kenya kujenga uwanja wa Songwe na kuboronga uwanja wa Songwe ungekuwa uko busy by now! Angalia ramani ya Zambia the whole of Northern hamna international airport! One has to go to Ndola or Lilongwe for Malawi to go abroad! Sasa ukiacha logistic potentials na ukiunganiasha agricultural, fishing na mining activities, horticulture n floriculture za Mbeya, Zambia na DRC na incoming Mtwara Development Corridors na tourism Selous,Katavi n Kitulo NP n Kalambo falls, ule uwanja upo strategic kuliko maelezo!
![]()
![]()
![]()