1. Hv pale kwa counter ya cashier unarukaje? Ikiwa tu hata kichwa halipiti?Hiyo story haijakaa sawa , mtu anaenda kupora bank bila kuwa na silaha, halafu anamfata kaunta na kuomba pesa ya kula
Get rich or die tryingAlazwe pema peponi kamanda......
Pumbavu kama ana njaa ndo iweje sasa, hata majambazi yana style mpya kila sikuJeshi la polisi kazi Bure kabisa.
Inamaanisha Askari wa Jeshi la Polisi wamekosa mbinu za kumdhibiti Raia asiyekuwa na silaha bila kutumia Bunduki! Hapakuwa na ulazima wa kutumia Bunduki.
Hakuna mhalifu hapo, wameua Raia aliyekuwa na Njaa.
Simpletons!
LOFA.Pumbavu kama ana njaa ndo iweje sasa, hata majambazi yana style mpya kila siku
Alafu tunasema hawa watoto wa baba mdogo wamefundishwa njia za usalama na kulinda mali za raia kwa aina hii kweli?! Wanashindwa kumcontain mtu ambaye hana siraha ya aina yoyote zaidi ya maneno tu yanayomtoka mdomoni kwake kweli? This is a highest level of stupidity kwa hao polisi. Reformation kubwa sana inatakiwa kufanyika kuanzia mafunzo mpaka academic levels ili kijana awe qualified kujiunga na vyombo hivi vya ulinzi na usalama nchini.Spot on! Ndiyo maana huwa tunasema nchi yetu staarabu bado kabisa. Huyú kuna uwezekano atakuwa ni mgonjwa wa akili na polisi walichotakiwa kufanya ni kum- contain. Hakuna jambazi anayepora kwa njia hii.
Unajua ukishajua position ya adui yako cha kwanza unachopaswa kujua "Ana siraha ya aina gani na anaweza akaitumia katika mazingira gani kukudhuru na kwa muda gani". Hapo nadhani jibu utakuwa ulishalipata, kilichofanyika hapo bank kwa hao polisi ni upumbavu wa kuindoa maisha ya mtu ambaye walikuwa na uwezo hata wa kumset psychologically kwa maongezi tu na huyo mtu akaamua kutoka mwenyewe huko alipokuwa. Elimu, elimu elimuuu.......Mmh inawezekana hakuwa na akili timamu kweli ila askari kujihami ni muhimu pia..
Yes inategemea na umbali wa mfyatuko wa risasi na target. Kumbuka askari wanatumia AK 47 ambayo ina uwezo wa kusafirisha risasi kwa mita mita 715 kwa sekunde( 800m by approximation). Sasa ndani ya bank meaning ni zero range yaani target ipo karibu kabisa so impact yake lazima iwe kubwa kama si umahututi uliosababishwa na uharibifu mkubwa au ni kifo kabisa kwa kupoteza damu nyingi.Risasi ya kiuno Mtu anakufa.
Kidijili?wanaiba kidijili/kimtandao, bank ina hack iwa watu wanachukua fedha
Ahaaa. Acha tucheke.Police wapo kwenye taharuki asije akapigwa kabari km yule aliepigwa na daktari sasa wakaona nguvu hawana ngoja watumie manati
Chizi ashike jiwe akurushie au rungu akupige nalo kichwani uzime ndio utaelewaKwahiyo Chizi akikutishia kukudhuru, utajihami kwa kumuua?
Akili za wapi hizi!
eeKidijili?
Ujambazi wa benki lazima kuwe na inside jobHakuna jambazi hapo karukwa na akili kauawa polisi hawana nguvu za kushindana na mtu mmoja mpaka wampige risasi..
Panic modeMtu hana silaha, mtu yupo mmoja, anapigwaje risasi ya kiuno na kumuua!! Kwamba walishindwa mpiga risasi kwenye maeneo ya kumjeruhi kama wanavyofundishwa huko CCP?
Kwa wenzetu kama mtu hana silaha nk wangemthibiti kwa teaserMtu mmoja anawaagiza kudhibiti Bank imejaa watu na walinzi na wahudumu mpaka wamuue kwa Riaasi?
Kirang njoo uone Tz hakuna anayejali uhai wa mtu.
Huyo ni Teja alikuwa na njaa na arosto ya pesa, Maana hata mwizi hawezi kufanya hayo