Labda walimuambia lala chini jamaa akagoma akaendelea kuonesha viashiria labda ana silahaJeshi la polisi linasikitisha sana! Sasa mtu kama huyo usikute ana changamoto ya afya ya akili, teja au ana msongo wa mawazo! Kulikuwa kuna ugumu gani wa kumkamata kwa njia ya kawaida?
Mtu hana silaha! Unampiga risasi ya kiunoni kwa sababu gani? Eti alikataa kujisalimisha! Alikuwa anakimbia? Sasa mtu yuko kwenye kizimba cha mtoa huduma, si lilikuwa ni jambo la kumkamata tu na kwenda kumhoji kituoni!
Kwa nini hili jeshi linaamini sana kwenye matumizi makubwa ya nguvu, huku askari wake wakitumia akili kidogo kwenye kutatua matatizo ya msingi? Ndiyo kusema uhai wa binadamu hauna kabisa thamani kwenye hii nchi? Kwa nini wameamua kujipa jukumu la kuwa watoa hukumu badala ya mahakama?
Sitetei uhalifu! Ila siamini kama nguvu iliyotumika inaendana na tukio lenyewe.
Au maaskari waliogopa kupigwa kama yule askari mwenzao wa usalama barabarani?
Bado haileti mantiki. Kuna umuhimu wa haraka wa kulifumua hili jeshi la polisi. Askari wake wengi hawana weledi kwenye kutatua masuala madogo kwa kutumia akili. Wao wanafundishwa kutumia nguvu zaidi.Labda walimuambia lala chini jamaa akagoma akaendelea kuonesha viashiria labda ana silaha
Ova
Ni kama wale waliokua wanaamini bank za Mlima city watu wamekufa sana baada ya kutoa pesa mara ya mwisho mfanyakazi wa kiwanda cha Pepsi alitoa 7m wakaenda kumuulia getini nyumbani kwake..Ujambazi wa benki lazima kuwe na inside job
Huwezi kwenda kichwa kichwa eti ukaingie benki upore
Ova
Hilo Jeshi asilimia kubwa limejaa Failures, wengi wao ni wahanga wa Sonona & matatizo ya Akili (fika Mirembe pale utajionea). Wazazi wengi wanapeleka Vijana wao walioshindikana huko kuepuka & kuwaepusha na masumbuko ya mtaani.Mtu hana silaha, mtu yupo mmoja, anapigwaje risasi ya kiuno na kumuua!! Kwamba walishindwa mpiga risasi kwenye maeneo ya kumjeruhi kama wanavyofundishwa huko CCP?
Namba 3 nilijikuta namtomber house girl wangu. Sema ana ka mnato fulani hivi.1. Njaa
2. Hasira
3. Nyege
Unaweza fanya kitu cha ajabu sana. Mungu amrehemu.
Risasi ya kiuno Mtu anakufa.
Bado haileti mantiki. Kuna umuhimu wa haraka wa kulifumua hili jeshi la polisi. Askari wake wengi hawana weledi kwenye kutatua masuala madogo kwa kutumia akili. Wao wanafundishwa kutumia nguvu zaidi.
Hapa tukubaliane hakukuwepo na sababu ya msingi ya kumuua huyo jamaa.
Ktk sehemu salama ya kwenda kuchukua helaNi kama wale waliokua wanaamini bank za Mlima city watu wamekufa sana baada ya kutoa pesa mara ya mwisho mfanyakazi wa kiwanda cha Pepsi alitoa 7m wakaenda kumuulia getini nyumbani kwake..
Nakumbuka nlipokuwa dizonga nlikuwa naona matukio mengi ya upgrading wa magari ya cash transit na wangoa machine za ATM mpk unacheka aiseeNi kama wale waliokua wanaamini bank za Mlima city watu wamekufa sana baada ya kutoa pesa mara ya mwisho mfanyakazi wa kiwanda cha Pepsi alitoa 7m wakaenda kumuulia getini nyumbani kwake..
Salama kutoa pale ila wana mtandao mazee wa kuwafuta waliokua wanachukua pesa nyingi ndani watu walikua wanawafata na boda boda aisee jamaa alienda kulipia bati anarudi home ana kitu wahuni wakaona anawachezea wakaamua na wengine wengi walitoa taarifa ni muda kidogo umepita..Ktk sehemu salama ya kwenda kuchukua hela
Ni mlimani city
Ova
Daah bongo nyokoHiyo story haijakaa sawa , mtu anaenda kupora bank bila kuwa na silaha, halafu anamfata kaunta na kuomba pesa ya kula
Hiyo ndo bongo nyokoPolice wametumia nguvu kubwa kwa mtu asiyekuwa hata na silaha.
Nambkumka yule bro alikuwa na burger point yake pale ile kutoka sjui anapeleka hela wakamtandika akafa wakachkua pesaSalama kutoa pale ila wana mtandao mazee wa kuwafuta waliokua wanachukua pesa nyingi ndani watu walikua wanawafata na boda boda aisee jamaa alienda kulipia bati anarudi home ana kitu wahuni wakaona anawachezea wakaamua na wengine wengi walitoa taarifa ni muda kidogo umepita..
Yule jamaa niliwahi kumuona akiwa dereva baadae nikasikia katoka kaanzisha biashara ndogo ndogo nikaja kuona kwenye gazeti kapigwa risasi katoka kuchukua 7m bank mlimani city niliumia sana kwa mtafutaji kuuawa kwa pesa yake aisee tena home..Nambkumka yule bro alikuwa na burger point yake pale ile kutoka sjui anapeleka hela wakamtandika akafa wakachkua pesa
Ogopa sana bank tellers hawa wao ndy watoa signal wakubwa
Miaka ya nyuma sana mjini
Nlikuwa nafanya part time kazi clearing &forwarding
Sasa kuna siku mapema tu nkadaka $100 nkasema niingie Mc soms bureau de change wkt ule bureau ndy vile ahh napita extelecoms pale kna mzee mmj alikuwa anauza magazeti akaniambia usiendee huko
π nkasema kmbe ndani watu wameminywa,badaye nkajiuliza yule mzee alijuaje na wkt watu wanaminywa ndani wazee response haijaja...bdy nkasikia kiliooo
π
Nkasema dah nlikuwa najipeleka mule na mm ningetulizwa
Ova
So sad huu ujambazi we usikie tu ila ukikukuta ni balaa unaweza ukapotea au ukatiwa alama ya maishaYule jamaa niliwahi kumuona akiwa dereva baadae nikasikia katoka kaanzisha biashara ndogo ndogo nikaja kuona kwenye gazeti kapigwa risasi katoka kuchukua 7m bank mlimani city niliumia sana kwa mtafutaji kuuawa kwa pesa yake aisee tena home..
Kwamba wakuchekecha ni wengiπππwashamba waliojaa kila kona ya nchi na simu zote hizi mpaka za elf 2 kwa siku bado unaenda kuuawa kwa bunduki?