Kipaumbele sio barabara tu za lami kumbuka kuna barabara za vumbi nyingi ambazo pia hutumia pesa nyingi kuzi maintain, kama tunahisi tunaibiwa hao tuliowapa dhamana ya pesa zetu leo hii wangekuwa matajiri sana...Nafikiri si vizuri kusema huo ni msaada wakati serikali inalipa, pili Kama uko mza nakushauri uende ofisi husika uwaulize nafikiri huko utapata majibu.
Ni marekebisho ya madaraja/karavati lakini barabara ni lami hadi sabasaba kama unaenda airtime.Duh! nimeshangaa kuona barabara ya Nyakato-Buswelu haijakamilika!!!
Mbona kuna kipindi walikuwa wanajenga barabara hiyo!!
Nimetoka mwanza miaka mi3 iliyopita nilijua imekamilika kumbe horaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mabula kijana ndo kitukoIlemela ndio hakuna kitu kabisa, heri Nyamagana kama ni mbunge basi Mabula Kijana is far better than Mrs Mabula
Nakuunga mkono kwa 100%Nyamagana imejengwa toka muda halafu ndo kitovu cha jiji ilemela hapo lazima isome tu... Ni kama ilala na temeke.. Huyu Mabula wa nyamagana ni ovyo, mara mia nduguye wa ilemela.
Stendi mpya ipi?Mabula kijana ndo kituko
Mi niko Nyamagana...barabara za mitaa ambazo ndo daizi yake kabisa ziko hoi.mnooo....hebu nenda kajionee barabara inayopita lango la stendi mpya na kushuka kwa Masai...imegeuka na kuwa mto...
Mabula kijana ndo hapana kabisa aiseee
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilemela iko vizuri mno...vituko viko Nyamagana...hakuna kituWakuu hata kama sio kwa pesa za ndani ni pesa za wafadhili Ilemela kwa mwaka ulioisha imejenga Km 12 za barabara kwa kiwango cha lami. Sabasaba-Buswelu, Mjimwema-Big bite, Nera-Kigoto/ Mwaloni.
"Hatua hii imetokana na usimamizi mzuri wa miradi ya TSCP ambapo wafadhili wamekuwa wakiridhika na kuendelea kutoa fedha kila mwaka. Mpango ujao ni kujenga kwa kiwango cha lami barabara za Kahama β Kabusungu β Kayenze, Mbogamboga β Nyamadoke β Nyamhongolo, Buswelu β Cocacola na Pasiansi β Lumala β Kiseke. Tayari maandiko ya miradi hiyo yanaendelea kufanyiwa kazi na mradi wa TSCP."
Sipo kusifia kila kitu, ila ni bora kidogo kuliko kukosa kabisa, Tujiandae kwa miradi ijayo barabara za Kahama β Kabusungu β Kayenze, Mbogamboga β Nyamadoke β Nyamhongolo, Buswelu β Cocacola na Pasiansi β Lumala β Kiseke.
http://www.ilemelamc.go.tz/storage/app/uploads/public/5d7/8b0/f04/5d78b0f046dc6745412498.pdf
ILEMELA ni yetu, tushirikiane kuijenga.
Hivi zile za kiloleli,maduka tisa,mjimwema si ni za ilemela na zenyewe.... Sababu niliondoka hiyo miaka ya 2010-11 hazikuwepo ila nilivyorudi nikazikuta.fafanua mkuu baada ya kumegwa kutoka jiji 2010/2011, ilemela imejenga barabara ipi kwa lami ukiacha ile ya ufadhili wa WB, kiseke Buswelu, na Ile ya Buswelu-Veta,
Manispaa gani mitaa kama vijiji; give us a break aiseee
Kipaumbele ni Hospital ya Wilaya iliyopo Kabusungu na kuunganisha Kayenze na Halmashauri kwa njia ya lami.
Naona wameangalia kipaumbele kwa sababu inaenda Hospital ya wilayaNa hii ya AIRPORT-TX-IGOMBE kwenye huo mpango mbona haimo au kwenye mipango mingine tofauti na ufadhili wa world Bank imewekwa?
Mlipopewa IMC mlipaswa kuandikia Serikali KUU ilete pesa za Barabara IMC, za
Huko kote ni ilemela, hata mecco, buzuruga, maeneo yote ya kirumba, mwaloni, bwiru, malaika, airport hiyo yote ni ilemela,Hivi zile za kiloleli,maduka tisa,mjimwema si ni za ilemela na zenyewe.... Sababu niliondoka hiyo miaka ya 2010-11 hazikuwepo ila nilivyorudi nikazikuta.
Naona wameangalia kipaumbele kwa sababu inaenda Hospital ya wilaya
Ninachofahamu Ni ukivuka tu lile daraja la mto mirongo Kama sijakosea kunakofata kote Huko Ndio IlemelaMi naomba kuuliza hivi mpaka wa ulemela na nyamagana unaanzia wapi unapokuwa umefika pale nera ile barabara inayoenda mwalo wa kirumba!!??
Sent using Jamii Forums mobile app