A
Anonymous
Guest
Mtaa wa Buganda, Kata ya Mkolani, Wilaya ya Nyamagana - Mwanza. Barabara ya Mtaa ni mbovu sana, watoto wanateseka kwenda shule, watu wenye magari hawayatumii tena, Bodaboda wamepandisha nauli kutoka Stendi ya Nyegezi hadi mtaa huo kutokana na barabara kuwa mbovu.
Uongozi wa mtaa unachangisha fedha kwa baadhi ya kaya lakini hatuoni kinachofanyika, tunaiomba Serikali iingilie hili suala kwa kuwa fedha zinachangishwa lakini hakuna kinachofanyika ili kutusaidia Wananchi, tunapata wakati.