Mwanza: Binti anayesoma wa kidato cha tano jijini Tanga auawa na mpenzi wake kisa wivu wa mapenzi

Dah yaani bado kuna wanaume wanaoteseka na mapenzi, fool of a took, ujinga ujinga tu

R.I.P wakusoma
 
Kuna tatizo kubwa kwenye malezi ya sasa wazazi mnatakiwa kujitathimini.
Huo uzungu mnao uendekeza kwenye malezi.
Sasa hivi unakuta binti wa kidato cha pili ana msururu wa wanaume tena wababa wazima na wazazi hawana hata muda wa kufuatilia mienendo ya watoto wao.
 
Wivuuuuu mama Wivuuuuu ,Mapenzi mabaya mapenzi mabaya!! Kanda ya ziwa again kama yule Jamaa aliyempiga mkewe risasi na yeye kujimaliza.

Kwa Jinsi nilivyojifunza kwa kizazi hichi cha Carolight na Supra ni bora utafute hela kwanza uachane na mapenzi na ukitaka m/ke uwe atleast unajiweza ,ukijiweza m/ke anakuwa na discipline na m/me unakuwa hauna wivu wa kijinga.
 
Huyo Adamu Kailaga atakuwa Kobaaz tu katuulia mgalatia mwenzetu.

hydroxo gallow bird incharge Adiosamigo FaizaFoxy ITR inamankusweke gTurn

Nyau de adriz
 
Kuna kibinti kipo arusha,kinaniletea hizo hizo za marehemu,aiseee sema kinabahati,manake ningekuwa napenda kunyea debe mapema sana ningekipoteza nyambafu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…