Ni kweli mkuu we angalia vizuri ni Kama anataka kulia, kukosa vieteee roho inauma kweli yaani
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Robert Gabriel leo Ijumaa Juni 11, 2021 amewasili jijini Mwanza kwa ajili ya makabidhiano ya ofisi na mtangulizi wake, Albart Chalamila ambaye uteuzi wake umetenguliwa.
Amefika katika ofisi za mkuu wa mkoa leo saa 4:50 asubuhi na kupokelewa na wajumbe wa kamati ya amani ya mkoa huo.
Kwa mujibu wa katibu mieka wa mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Matia Levi amesema makabidhiano baina ya wawili hao yanatarajiwa kufanyika wakati wowote leo.
Katika mabadiliko ya wakuu wa mikoa yaliyofanywa na Rais Samia leo, aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Tabora, Ally Hapi amehamishiwa mkoani Mara kuchukua nafasi ya Gabriel huku aliyekuwa katibu tawala wa Mkoa wa Shinyanga, Dk Batilda Buriani akiteuliwa kuchukua nafasi ya Hapi.
Sasa binadamu so tunaongea mambo ya binadamu lakini au unataka tuongee ishu za nyani 😃😃😃Hv ni kweli lile lory jamani hahahahaa watz hatuna kazi za kufanya jaman..tunafatilia petty issues balaaa🤣🤣
Bahati mbaya hata Mwenyekiti wake wa chama namkubali that means atakula kichwa hata kama wajumbe watampitisha.Mzee huko kwenye ubunge ndio kabisaa 2025 ni vichwa tupu vinaingia
Nambie mkuuYuko wapi nduguyo Baba Swalehe ?
Huyu clown leo atalewa kinyama 😃 ogopa kitu inaitwa stress. Gari la mizigo yake lilikuwa Tabora kutoka Mbeya nadhani watageuza leo wairudishe mizigo yake iende kijijini kwao. Ajipange na ubunge kama atatoboa.
Too Fast .. Under 24 hours tangu kutenguliwa anatakiwa kukabidhi na aondoke haraka..Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Robert Gabriel leo Ijumaa Juni 11, 2021 amewasili jijini Mwanza kwa ajili ya makabidhiano ya ofisi na mtangulizi wake, Albart Chalamila ambaye uteuzi wake umetenguliwa.
Amefika katika ofisi za mkuu wa mkoa leo saa 4:50 asubuhi na kupokelewa na wajumbe wa kamati ya amani ya mkoa huo.
Kwa mujibu wa katibu mieka wa mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Matia Levi amesema makabidhiano baina ya wawili hao yanatarajiwa kufanyika wakati wowote leo.
Katika mabadiliko ya wakuu wa mikoa yaliyofanywa na Rais Samia leo, aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Tabora, Ally Hapi amehamishiwa mkoani Mara kuchukua nafasi ya Gabriel huku aliyekuwa katibu tawala wa Mkoa wa Shinyanga, Dk Batilda Buriani akiteuliwa kuchukua nafasi ya Hapi.
Anatakiwa kuwahi roli la mizigo yake Kahama ageuze naloBora kafanya fasta awahi bia huko
Amshindwa kabisa kuficha mstuko na hisiaMuonekano wa Chalamila hapo ni Kama mtu mwenye kuumia sana
Duh!Jamaa ameumia kweli.Yote mambo tu.Ameumia...nimeumia pia aise
Daahh, Maza Hausi kamuweza sanaAnatakiwa kuwahi roli la mizigo yake Kahama ageuze nalo