Mwanza: Chalamila akabidhi ofisi kwa RC mteule

Mwanza: Chalamila akabidhi ofisi kwa RC mteule

[emoji125]
FB_IMG_16234529199049121.jpg
 
Huu ndo uanaume, kilio cha samaki machozi yanaenda na maji! Mwanaume analia ndani nje smile! Hili la kukabidhi faster ni la mfano, baadhi ya wazee wetu na hata vijana wenzetu mnatuaibisha hua mnakua na longolongo mnapotakiwa kukabidhi! Safi
Lazima akabidhi fasta Rais anaenda Mwanza tarehe 13.
 
Kwani ile Kazi yake ya Mwenyekiti ccm Mkoa alishika mwingine au?
Mkuu hilo sina majibu nalo labda tuwaulize watu wa Lumumba buku 7 watatusaidia. Ukirejea enzi za mwendazake alishasema kuwa hakuna kuvaa kofia mbili.
 
Back
Top Bottom