Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Best ulikuwa humpendi nini RC haahhaahha???Leo ndio amepata jibu kama kafa au yupo hai
Niliposikia Magufuli kafa, nilihisi na mimi nimekufa - RC Chalamila
Yaani nimecheka balaa, kweli kifo kifo tuu hakina mjuzi Wangari Maathai njoo msikie kaka yako hapawww.jamiiforums.com
Best ulikuwa humpendi nini RC haahhaahha???
Ni maagizo mkuu.Huu ndo uanaume, kilio cha samaki machozi yanaenda na maji! Mwanaume analia ndani nje smile! Hili la kukabidhi faster ni la mfano, baadhi ya wazee wetu na hata vijana wenzetu mnatuaibisha hua mnakua na longolongo mnapotakiwa kukabidhi! Safi
Mkuu nipo hoi mwenyewe loh
Acha tu mkuu unaona kabisaa hapo mwenzake jinsi alivyomshika huo huwa ni mshiko wa kumfariji mtu hapo jamaa yupo hoiAmshindwa kabisa kuficha mstuko na hisia
Mheshimiwa rais alishasema, tatizo Watanzania ni wagumu kuelewa.Daahh, Maza Hausi kamuweza sana
Mkuu nipo hoi mwenyewe loh
Umepitwa na wakati wewe.Mama anacheza makida.hatoboi 2025,wajumbe wanamchekiiii ,Kama vile hawaoni.anasumbuka bule kuhangaika na kupanga safu yake,haya mambo yalikuwa enzi zile,kwa ss wajumbe wamejanjaluka .bi mkubwa tulia,acha kuhangaika na mauteuzi,fanya kazi tizione.mpaka ss hakuna jipya kutoka kwake.
Hayatabiriki mkuu unaeza Kuamka upo kwenye bendera kupepea au kuamkia kwenye bajaji🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂 maisha haya
Nzuri tu Mama D.Habari ya siku nyingi Relief Mirzska? 😂😂😂
Mama alishasema Ukimzengua anakuzengua.Mi naona uzalilishaji, huyu mama kakosa Imani, hivi angefanyiwa yeye au kizazi chake angejisikiaje, usimfamyie mwenzio kitu ambacho ukifanyiwa wewe kwako ni maumivu.
Alichozingua Nini kibaya, mzalilishaji, sawa na mkuu wa mkoa wa Moro yule Masai, alifanya Nini kibaya, mpaka kamtema, ingekukuta wewe ungejisikiaje? Ukweli kusema.Mama alishasema Ukimzengua anakuzengua.
Muwe mnaelewa watu wakizungumza. Uchizi na Uchale kwenye mambo serious hayana nafasi kwenye serikali ya awamu ya sita.
Kama anavyoteua ndivyo anavyotengua.Alichozingua Nini kibaya, mzalilishaji, sawa na mkuu wa mkoa wa Moro yule Masai, alifanya Nini kibaya, mpaka kamtema, ingekukuta wewe ungejisikiaje? Ukweli kusema.
Nzuri tu Mama D.
Nimepotea au wewe umepotea??
Unaona kazi anayopiga bi mkubwa?? Ama kweli CCM ni hazina.
Du! du! du! Mkuu! ulikuwa unafurahia action za huyu clown? Mimi watu kama hawa wakati huwa wanafanya siku yangu kuwa mbaya sana sana ninapokutana na upotoro wao. Nina list ya viongozi ambao unafikiri na kujipendekeza kwao huwa kunanipa hasira mno.Comedy zake nitasimisa ..sina udamu .mkinga sijui mhehe na sukuma hatuingiliani
Yaan mm ilikua nikimuona naanza kucheka...ameniuma...ila huyu hajatocha watu kama sabaya na makonda!Du! du! du! Mkuu! ulikuwa unafurahia action za huyu clown? Mimi watu kama hawa wakati huwa wanafanya siku yangu kuwa mbaya sana sana ninapokutana na upotoro wao. Nina list ya viongozi ambao unafikiri na kujipendekeza kwao huwa kunanipa hasira mno.