Mwanza City: The Photo Gallery

poromosheni madude vitu ni vingi mno
 
Nimukulia nyasaka ukitoka buzuruga kwenda pasiansi nimesoma nundu then kiloleli natamani sana nirud home ila changamoto ukoo mzima uko pale daa nyanza ya wiza gete
 
Nimukulia nyasaka ukitoka buzuruga kwenda pasiansi nimesoma nundu then kiloleli natamani sana nirud home ila changamoto ukoo mzima uko pale daa nyanza ya wiza gete
napapata sana. pande za kangae mecco kwa juu ilikuwa mitaa yangu ya kudhururia kipindi hiko
 
Mji mzuri sasa mtuambie gharama za maisha zikoje na upatikanaji wa viwanja, nyumba na bei zake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…