Mwanza City: The Photo Gallery

Hayo ni mawe ya aina gani mkuu? Yanapatikana huko huko mwanza? Barabara ya aina hiyo inadumu kwa miaka mingapi? Ahsante

Mawe ni ya kawaida Ila inabidi yachongwe, wakazi wengi wa mji hasa milimanj zinakojengwa hizi barabara wanapata ajira kwa njia hiyo, barabara hizi zinadumu kushinda za lami na ni cheap inasemekana ni miaka 25 na zaidi.



 
Ndio maana nikakwambia wewe ni kiazi, hii thread inazungumzia jiji la Mwanza we unakuja na mambo ya Arusha we mzima kiakili?
Arusha kuna five star hotels sasa inatuhusu nini kwenye thread ya Mwanza City Gallery?
Haeleweki huyu achan nae

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
prince pharmaceutical company ltd. hiki kiwanda kinatengeneza dawa za binadamu.
 

Attachments

  • 0.1Kampuni ya madawa Mwanza15.jpg
    36.3 KB · Views: 63
barabara za mawe ni cheapbna zinadumu kuliko za lami. kwa milima ya mwanza ya mwanza barabara hizo ni suluhisho kubwa la matatizo na adha zote zinazosababishwa na mvua.
 
Asante sana mleta mada. Thread umeitendea haki. Hivi kati ya Kingdom, Gold Crest na Ryan's Bay ipi inabamba zaidi? (nimeshawahi kufikia Kingdom na Gold Crest). Lakini Gold Crest kama inaelekea kuchoka kind of.
Mkuu usilinganishe kifo na usingizi. Kwa Mwanza Gold Crest, Malaika na Ryans bay ni hoteli za kimataifa (hata rooney akienda Mwanza atalala moja ya hizi) Kingdom ni hoteli ya mtaani, uswahilini. Hadi vyumba vya 30,000 vipo.

Sent from my SM-E500H using JamiiForums mobile app
 
Mwanza ndo ya pili kuwa jiji baada ya dar asa wewe unaesema arusha ipo kwa kigezo Gani?
Ukikusanya hotel za Lash peke yake pale Arusha hizo zote za Mwanza hazizifikii kwa ubora.
Note. Nimekua na kuishi Arusha, Mwanza nimefanya kazi miaka 5.

Sent from my SM-E500H using JamiiForums mobile app
 
Ukikusanya hotel za Lash peke yake pale Arusha hizo zote za Mwanza hazizifikii kwa ubora.
Note. Nimekua na kuishi Arusha, Mwanza nimefanya kazi miaka 5.

Sent from my SM-E500H using JamiiForums mobile app
ww kumbe n hati punguzo hicho ndicho kigezo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Hivi Mwanza kuna Five stars hotel ? Usiniuluze kama Arusha ipo maana zipo.
Umerukwa na akili au ni nini? mbona kama mada si hiyo uliyoilukia

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
BOT hotel proposed at Capri point mwanza ikiisha BOT OFFICE(under construction)
 
Kuna ile inaitwa NSSF MWANZA TOURISM HOTEL capripoint ikikamilika Czan km Kuna hotel itafikia Hapo...
 
Mji mzuri sasa mtuambie gharama za maisha zikoje na upatikanaji wa viwanja, nyumba na bei zake...
Inategemea unataka mitaa gani.bei zinatofautiana na maisha ni ya kati kimatumizi

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…