Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,608
Daraja la mabatini usiku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo ni mawe ya aina gani mkuu? Yanapatikana huko huko mwanza? Barabara ya aina hiyo inadumu kwa miaka mingapi? AhsanteView attachment 539273
Barabara za mawe zikiendelea kujengwa
Hayo ni mawe ya aina gani mkuu? Yanapatikana huko huko mwanza? Barabara ya aina hiyo inadumu kwa miaka mingapi? Ahsante
Shukrani mkuuMawe ni ya kawaida Ila inabidi yachongwe, wakazi wengi wa mji hasa milimanj zinakojengwa hizi barabara wanapata ajira kwa njia hiyo, barabara hizi zinadumu kushinda za lami na ni cheap inasemekana ni miaka 25 na zaidi.
View attachment 539293
View attachment 539294
Haeleweki huyu achan naeNdio maana nikakwambia wewe ni kiazi, hii thread inazungumzia jiji la Mwanza we unakuja na mambo ya Arusha we mzima kiakili?
Arusha kuna five star hotels sasa inatuhusu nini kwenye thread ya Mwanza City Gallery?
Mkuu usilinganishe kifo na usingizi. Kwa Mwanza Gold Crest, Malaika na Ryans bay ni hoteli za kimataifa (hata rooney akienda Mwanza atalala moja ya hizi) Kingdom ni hoteli ya mtaani, uswahilini. Hadi vyumba vya 30,000 vipo.Asante sana mleta mada. Thread umeitendea haki. Hivi kati ya Kingdom, Gold Crest na Ryan's Bay ipi inabamba zaidi? (nimeshawahi kufikia Kingdom na Gold Crest). Lakini Gold Crest kama inaelekea kuchoka kind of.
Ukikusanya hotel za Lash peke yake pale Arusha hizo zote za Mwanza hazizifikii kwa ubora.Mwanza ndo ya pili kuwa jiji baada ya dar asa wewe unaesema arusha ipo kwa kigezo Gani?
ww kumbe n hati punguzo hicho ndicho kigezo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukikusanya hotel za Lash peke yake pale Arusha hizo zote za Mwanza hazizifikii kwa ubora.
Note. Nimekua na kuishi Arusha, Mwanza nimefanya kazi miaka 5.
Sent from my SM-E500H using JamiiForums mobile app
Umerukwa na akili au ni nini? mbona kama mada si hiyo uliyoilukiaHivi Mwanza kuna Five stars hotel ? Usiniuluze kama Arusha ipo maana zipo.
Hapa ni mitaa gani mkuu?na wenyeji wangu wote hapa mjiniView attachment 534542 View attachment 534544 View attachment 534546 View attachment 534548 View attachment 534550 city style house.
hapa unaweza pia kupiga usingizi wako mwororo hadi unasahau shida za kesho.
Kuna ile inaitwa NSSF MWANZA TOURISM HOTEL capripoint ikikamilika Czan km Kuna hotel itafikia Hapo...Mkuu usilinganishe kifo na usingizi. Kwa Mwanza Gold Crest, Malaika na Ryans bay ni hoteli za kimataifa (hata rooney akienda Mwanza atalala moja ya hizi) Kingdom ni hoteli ya mtaani, uswahilini. Hadi vyumba vya 30,000 vipo.
Sent from my SM-E500H using JamiiForums mobile app
Inategemea unataka mitaa gani.bei zinatofautiana na maisha ni ya kati kimatumiziMji mzuri sasa mtuambie gharama za maisha zikoje na upatikanaji wa viwanja, nyumba na bei zake...